Waziri mmoja ni Raia wa Marekani: Gazeti la Dira

hiyo ada haijakaa sawa ila kwa mujibu wa dira waziri anayesemwa na lazaro nyalandu ambaye ameishi sana marekani huo bwana baada ya kumaliza kidato cha sita pale ilboru sec miaka ya tisini na kupiga ziro alikwenda marekani kwa mgongo wa madhehebu ya dini (KKKT) na kuishi marekani hadi miaka ya 2000 aliporudi na kuogobea ubunge kwao
 
Mimi nimesoma Ilboru na nilimaliza mwaka 1993 kidato cha nne. Namkumbuka Lazaro na yeye ananikumbuka sana. Sikumbuki alipata division gani lakini Ilboru hatukuwa na 0 kama shule nyingine hivyo nauhakika hakupata 0.
 
Kuna watanzania wengi sana sana ambao ni individuals with long, exceptional and outstanding professional careers in diaspora tena idadi yao inazidi hilo kundi ulilolitaja hapo juu kwenye nyekundu....sijui utawaeleza nini kuhusu hoja yako?

Support data in relation to their number, distribution, exceptional performace, reasonds forlinking their bid to return with dual citizenship as condition, and if there is no alternate way to make such exceptional professionals useful without calling for dual citizenship?
Think widely and broadly, there are millions solutions to a particular social problem!
 
Bahati nzuri unachangia manda na mtu ambaye ni open minded.
Hakuna utumwa mbaya kama huu wa mtu kujiona anajitosheleza wakati huo huo analia njaa na kuomba misaada. Inasikitisha zaidi anapofunga njia mojawapo ya kumpatia unafuu. Tajiri utamwona anajali senti moja, lakini maskini akiona senti moja anaidharau wakati ni muafaka kumwelimisha kwamba senti shilingi moja huanzia na senti moja.

Still blah blah. No solid argument! Mwaga ushahidi ndugu.
 
Sophist,
Pengine ulikuwa hujazaliwa au pengine historia ya karibu ya nchi hii imekupita mshazari. Inawezekana pia unajua kuandika haraka bila kurudia facts zako.
Anyway, stoway maarufu aliongoza sehemu moja ya muungano. Inawezekana bila returning stoway tusingeruhusiwa kuingiza Tv bara. Stoway ndiye alikuja na solution ya usafiri Dar - daladala za kwanza zilikuwa ni mitumba ya returning stoways. Usisahau pia baada ya Co-cabs kugota ilikuwa ni stoway aliyetuletea solution - mitumba nguruwe - au hukuziona 504.
Jaribu kuongelea unachokifahamu.

We learn from history we do not copy history. Is there any thing proud of, in the guruwe mitumba, the chaotic dala dala (nauli ya shs 5/= badla ya shs 3/= za UDA, ukitaka kukumbuka maana ya dala dala). Usisahau kuwa mapinduzi ya Zanzibar yalihasisiwa na fugutive John Okello, waka Karume amejiicha bara. Tusichanganye mambo. hoja zako zote zinaonekana kutoka nje ya hoja kuu; is there need for Tanznaia to allow dual citizenship?
I wrote, and repeating, stowaways cannot help us think solving our collective (public) national development problems but theirs (personal: foods, lifestyles, a few $ or Euros, et la).
 
Back
Top Bottom