Waziri mmoja ni Raia wa Marekani: Gazeti la Dira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri mmoja ni Raia wa Marekani: Gazeti la Dira

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAMBOTA, May 16, 2011.

 1. K

  KAMBOTA Senior Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0  Loliondo1.jpg Ndugu wanajukwaa,
  Nimeshtushwa na taarifa iliyochapwa na gazeti la Dira la leo juu ya waziri kijana wa serikali ya CCM kuwa ana uraia wa Marekani na mpaka nakwenda mitamboni hapa jamvini bado serikali ya JK haijazungumza kitu kuhusu tuhuma hizi, je maana yake ni kweli? na kama kweli JK anangoja nini? je kwanini asiachie ngazi haraka kwa jinai ya kuteua raia wa Marekani kuwa waziri kwenye nchi yetu?....

  If Not Me Who? And If Not Now When?
   
 2. S

  Smarty JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  Fuatilia kwanza vigezo ambavo vinaweza kumfanya rais ajiuzulu. Ndo utoe pendekezo lako. Inaonekana hukusoma siasa wewe.
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ni nani huyo? Tujuze tafadhali.
   
 4. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,212
  Likes Received: 3,776
  Trophy Points: 280
  Hii ni tread kama ya nne hivi lakini bado uwazi ktk hili bado tajeni jina la huyo waziri sio kulabdisha mara oho nyalandu oho chami oho lowasa oho kingunge au oho riziwani. Shusha jina na vielelezo vyote! Nasisi tujiridhishe halafu sheria ifuate mkondo wa kwa mkwele kuangushwa maana sheria ipo juu ya kila kitu duniani!!
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hapa Jamii forums habari huwa tunaweka wazi kama imeshaandikwa kwenye vyombo vya habari, hakuna cha woga, sasa kutueleza kichwa cha habari bila kuanika jina la huyo waziri tunachukulia kama majungu tu.
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Is it hard kutueleza jina la huyo Waziri? it is hard to follow the article...
   
 7. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #7
  May 16, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nina wasiwasi na chami!
   
 8. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #8
  May 16, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  +
   
 9. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #9
  May 16, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Kati ya hawa hapa unahisi nani anaweza kuwa na uraia wa Marekani? Maana inasemekana ni kutoka wizara ya Viwanda na biashara.
   
 10. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #10
  May 16, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Hii si hati ya uraia, bali ni kitambulisho cha mkazi wa kudumu nchini Marekani (green card) mwenye kupata haki za kijamii zote isipokuwa kupiga na kupigiwa kura katika uchaguzi wa viongozi kisiasa. Hii ni hati ya ukazi tu si uraia. Na mwenye hati hii tu hawezi kupata passport ya wamarekani mpaka apate naturalization.
   
 11. TITAN

  TITAN JF-Expert Member

  #11
  May 16, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inabidi wajumbe tuweze kutofautisha kati ya Permanent Resident and USA Citizen,
  ninavyo jua mm Mtu mwenye permanent resident card still ni raia kwy nchi yake kwani bado anatumia Passport ya nchi yake na Mwenye citizen ship ni mtu mwenye urai wa nchi ile na ameukana urai wa nchi yake au amezaliwa katika nchi iyo.
  so ni watanzania wengi viongozi wenye permanent resident card special wale walio soma USA au wemekaa kwa muda mrefu kutoka na wazaziwao kuwa kwy shuguli za kikazi na iyo aiweze kumuondolea raia aki yake ya kuwa kiongozi au kufanya shugulizake nyumabani
   
 12. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #12
  May 16, 2011
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  bila shaka huyu ni Nyalandu
   
 13. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #13
  May 16, 2011
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  watu wanakurupuka mno. Tafuteni facts mlete.
   
 14. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #14
  May 16, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Tatizo la Watanzania ni ushabiki na uivu na ndiyo maana nchi yetu haiendelei. Je ni kwanini hatuna Dual Citizenship mpaka sasa

  Nchi za ulaya, India, China, Nigeria, Mexico, USA etc zina ruhusu Dual je sisi ni kwanini hatuna, je tuna kitu gani special na hizi nchi nyingine hazina??. Kama mtu ni mzawa au ni mtoto wa mzawa sioni sababu ya muhimu ya kumnyima Dual Citizenship. Zaidi ya kejeli, madongo, na wivu kwa Watanzania wanaoishi nje hakuna sababu ya msingi ya kutokuwa na Dual Citizenship.
   
 15. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #15
  May 16, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Uraia wa nchi unatakiwa kuwa haki na siyo chaguo. Watanzania wengi walio na uraia wa nchi nyingine ni kwasababu ya za kiuchumi huko walikoenda kutafuta maisha. Lakini huwezi kumkataza au kumnyanganya mtu shamba la babu yake kwasababu ya uraia wakati babu zake wamezikwa hapo!!. Nchi yetu tusikoangalia inaenda huko kwani hizo ndiyo sheria za sasa na zijui zinamsaidia nani!!!
   
 16. TITAN

  TITAN JF-Expert Member

  #16
  May 16, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu kamundu!!! serekali yetu bado aijapitisha dual citizenship, kuna mambo mengi sana yanafanya serekali yetu isite ku a prove hii issue ukizingatia swala la wingi la raia kutoka nje kuweza kujipatia Passport zetu kiraisi, tunaitaji tuwe na ID ili tuweze ku track idadi na ualisi wa mtanzania kabla ya yote
  but still imekaa kisiasa sana kwani kuna baadhi ya watu wanadhani ni watu wachache wangeweza kufaidika na hii dual.
  vilevile tuangalie ni watanzania wangapi wapo nje ya nchi na wanafanya nn? kwa ili sitoi lawama kabisa kwani kunamambo ya msigi ya kufatilia mpaka tukubaliane na hili
   
 17. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #17
  May 16, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160

  Kwa kuongezea, ni upeo finyu mtu mzawa katika nchi yake kuambiwa si raia. Ningeambiwa amezaliwa nje ya nchi hapo ni sawa, lakini kazaliwa tunza yenye nia na wazazi wake wakiwa wazawa pia nini tatizo?
  Tuna watanzania wengi wanaotamani kuwekeza home na hata kufanya mengi home ili kusaidia kuinua uchumi wa taifa lakini tatizo ndio hilo wivu uliokithiri kati ya watanzania.

  Watanzania wako tayari na kuwapa uhuru mkubwa wageni wanaochota utajiri wetu na kuupeleka nje badala ya wazawa watakaoleta mali zanje kunufaisha Tanzania. Na wivu huu unaanzia na viongozi wetu wa serikali na bunge.
   
 18. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #18
  May 16, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mmm,umeona huyo aliyeko TZ,kwani bosi wa Kikwete unamjua?Umechelewa sana aisee.
   
 19. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #19
  May 16, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  vichwa maji wapo wengi sana...hoja gani imekaa ki mipasho hivi.
   
 20. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #20
  May 16, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,758
  Trophy Points: 280
  Tatizo la watanzania wenzangu ndo hili. Tunapenda sana sweeping statements!

  Kaa chini, jenga hoja kwa nini uraia wa nchi mbili uruhusiwe. Mkuu, si kila anayepingana na wewe ana wivu au kejeli..I would advise you dont take things at face value. Kuna wengine hata passport hawajui pa kuiombea, sasa nyinyi 'ma-elites' mlioko majuu mnataka kutuaminisha kwamba watanzania wote wanajua umuhimu wa hii dual citizenship. Tanzania ni yetu wote. Kwa hiyo kama unataka uraia wa nchi mbili..ni jukumu lako kujenga hoja na kuwaondolea hofu watanzania wenzako kwamba wewe kuwa na passport mbili hutawasaliti na taifa lao!

  Honestly, sometimes naona watanzania wengi tunakosa haki zetu kwa mtindo huu. AS LONG AS MTU HAKUBALIANI NA WEWE....Basi anakuonea wivu. This is wrong mkuu. Personally I have no problem na dual citizenship...LAKINI tangu nianze kusoma JF (maana atleast ndo kuna mjadala wa hili swala..kwetu uraiani haupo), sijawahi ona mtu kaweka compelling case why should our Government sanction this dual citizenship. Sana sana ni malalamiko ya waungwana kwamba wanaonewa wivu na wale wasiokubaliana na hoja zao.
   
Loading...