Waziri Mkuu: Watumishi wa umma wameanza kufanya kazi iliyotukuka

jsenyinah

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
249
338
Ameyasema hayo kwenye mji mdogo wa Shelui Wilayani Iramba Mkoani Singida kwenye Baraza la Maulid.

Amesema ndani ya mwaka mmoja,watumishi wa umma wameanza kufanya kazi iliyotukuka na yenye maadili na kwamba,Serikali ya awamu ya 5 haina haja ya kumwonea mtu yeyote.

Akasisitiza,asiyefanya kazi na asile.
 
WANAFANYA KAZI KW UOGA... WANASIASA WANAWATISHIA LUWATUMBUA... HEBU LIANGALIELIMAKONDAKTA
 
''Akasisitiza asiyefanya kazi na asile''....je we tukisema usifanye kazi na usile utakubali..?
 
Okee ni hatua nzuri, kama serikali mnafanya nini cha ziada kuwapa motisha waendelee na kazi nzuri?
 
Bado,halimashauri zetu zinahitaji mkakati wa ziada.
Ameyasema hayo kwenye mji mdogo wa Shelui Wilayani Iramba Mkoani Singida kwenye Baraza la Maulid.

Amesema ndani ya mwaka mmoja,watumishi wa umma wameanza kufanya kazi iliyotukuka na yenye maadili na kwamba,Serikali ya awamu ya 5 haina haja ya kumwonea mtu yeyote.

Akasisitiza,asiyefanya kazi na asile.
 
21c262130d08f66c31caa82b9314e2e3.jpg
 
hapa kuna ukweli, ofisi 'zimeanza' kumhudumia mwananchi na kumpa heshima. Nasema zimeanza sababu bado kuna masafa marefu mpaka tusema wafanyakazi serikali wana wajibika ipasavyo na mlipa kodi anapewa huduma na kuheshimiwa kama muajiri wao.
haya ya kuwajibika kwa wafanyakazi wa serikali alianzisha mzee Mrema kisha akaja Mwinyi - lakini kuna msemo kidole kimoja hakiuwi chawa na wao baadae walichoka sababu mfumo wote unataka marekebisho makubwa
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom