Waziri Mkuu: Watumishi wa umma wameanza kufanya kazi iliyotukuka


jsenyinah

jsenyinah

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
249
Likes
328
Points
80
jsenyinah

jsenyinah

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
249 328 80
Ameyasema hayo kwenye mji mdogo wa Shelui Wilayani Iramba Mkoani Singida kwenye Baraza la Maulid.

Amesema ndani ya mwaka mmoja,watumishi wa umma wameanza kufanya kazi iliyotukuka na yenye maadili na kwamba,Serikali ya awamu ya 5 haina haja ya kumwonea mtu yeyote.

Akasisitiza,asiyefanya kazi na asile.
 
comrade igwe

comrade igwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Messages
7,329
Likes
3,819
Points
280
comrade igwe

comrade igwe

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2015
7,329 3,819 280
Hongera kwa kuona hivyo mkuu
 
jonas255

jonas255

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
278
Likes
60
Points
45
jonas255

jonas255

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2013
278 60 45
WANAFANYA KAZI KW UOGA... WANASIASA WANAWATISHIA LUWATUMBUA... HEBU LIANGALIELIMAKONDAKTA
 
APEFACE

APEFACE

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2016
Messages
2,739
Likes
3,034
Points
280
APEFACE

APEFACE

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2016
2,739 3,034 280
''Akasisitiza asiyefanya kazi na asile''....je we tukisema usifanye kazi na usile utakubali..?
 
kilalile

kilalile

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
1,603
Likes
2,132
Points
280
kilalile

kilalile

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
1,603 2,132 280
Wameanza!!! baada ya miaka 55 ya uhuru, sasa wameanza?!!!
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
4,937
Likes
4,501
Points
280
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
4,937 4,501 280
Okee ni hatua nzuri, kama serikali mnafanya nini cha ziada kuwapa motisha waendelee na kazi nzuri?
 
Juma chief

Juma chief

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Messages
2,551
Likes
2,056
Points
280
Age
38
Juma chief

Juma chief

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2016
2,551 2,056 280
mnazingua mbona package nyembamba.....na hakuna dalili yoyote ya kunenepa...
 
MR MAJANGA

MR MAJANGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2014
Messages
2,292
Likes
3,521
Points
280
MR MAJANGA

MR MAJANGA

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2014
2,292 3,521 280
Muda utaongea na nasisitiza watanzania tusifanye makosa 2020
 
Chemtrail

Chemtrail

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2016
Messages
830
Likes
430
Points
80
Age
65
Chemtrail

Chemtrail

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2016
830 430 80
Bado,halimashauri zetu zinahitaji mkakati wa ziada.
Ameyasema hayo kwenye mji mdogo wa Shelui Wilayani Iramba Mkoani Singida kwenye Baraza la Maulid.

Amesema ndani ya mwaka mmoja,watumishi wa umma wameanza kufanya kazi iliyotukuka na yenye maadili na kwamba,Serikali ya awamu ya 5 haina haja ya kumwonea mtu yeyote.

Akasisitiza,asiyefanya kazi na asile.
 
B

Bonge

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Messages
967
Likes
566
Points
180
B

Bonge

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2007
967 566 180
Wanafanya kazi kwa uoga na unafiki ili wapate mkate ....
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
17,182
Likes
32,177
Points
280
Age
76
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
17,182 32,177 280
Ni kweli kazi yao imetukuna sana Mfano.polisi
 
P

Percival

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2010
Messages
2,658
Likes
751
Points
280
P

Percival

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2010
2,658 751 280
hapa kuna ukweli, ofisi 'zimeanza' kumhudumia mwananchi na kumpa heshima. Nasema zimeanza sababu bado kuna masafa marefu mpaka tusema wafanyakazi serikali wana wajibika ipasavyo na mlipa kodi anapewa huduma na kuheshimiwa kama muajiri wao.
haya ya kuwajibika kwa wafanyakazi wa serikali alianzisha mzee Mrema kisha akaja Mwinyi - lakini kuna msemo kidole kimoja hakiuwi chawa na wao baadae walichoka sababu mfumo wote unataka marekebisho makubwa
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
45,240
Likes
13,760
Points
280
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
45,240 13,760 280
Watumishi wamejawa na roho ya woga hakuna lolote la kujivunia.
 

Forum statistics

Threads 1,273,057
Members 490,259
Posts 30,469,138