Na waelewe hiyo approach imekuwa ikitumika muda mrefu kwa events mbalimbali, siyo kwa Magufuli tu.kuna watu wanashindwa kuelewa anaposema billion 3.9 wamefuatilia matangazo ipo hivi BBC wanao idadi ya watu wanaosikiliza matangazo yao,DW na redio zingine. Ukianza kujumlisha idadi ya watu wanaofuatilia na kusikiliza BBC, DW, VOA Na vyombo vingine vya habari dunia waliotangaza habari ya kifo inaleta idadi hiyo