Waziri Mkuu: Wananchi na wadau wengine wamebaini Upinzani nchini haujakomaa kisiasa

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
Waziri Mkuu ameyasema hayo sasa hivi wakati anaendelea kutoa hotuba ya kufunga Bunge la 11 la Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania.

Waziri Mkuu amewataka Wabunge wa Upinzani kufikiria upya uamuzi wao wa kuwanyima wananchi haki ya kuwawakilisha. Waziri Mkuu amewakumbusha Wabunge wa Upinzani kuwa Mbunge amepewa haki ya kinga anapokuwa Bungeni na kwa maana hiyo hawajafungwa mdomo.
 
Waziri Mkuu ameyasema hayo sasa hivi wakati anaendelea kutoa hotuba ya kufunga Bunge la 11 la Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania.
Waziri Mkuu amewataka Wabunge wa Upinzani kufikiria upya uamuzi wao wa kuwanyima wananchi haki ya kuwawakilisha. Waziri Mkuu amewakumbusha Wabunge wa Upinzani kuwa Mbunge amepewa haki ya kinga anapokuwa Bungeni na kwa maama hiyo hawajafungwa mdomo.
Hivi anachosoma ni nini maan sielewi na hivi ni so argent kwa mimi kukijua mpk kionyeshwe live saa za kazi?
 
Kuna baadhi ya viongozi mda mwingine unatamani Bora wangekuwa shambani kam wakulima wazalishie taifa chakula cha kutosha.
 
Kwa akili ya kawaida akiongea kinyume si atamkasirisha bosi wake.Unataka amwage ugali wake.
 
Kama hawajakomaa kisiasa mnawapeleka Mahakamani wa nini?
Hakuna mtu anaye-deal na mtu dhaifu, Upinzani upo imara ndio maana kila siku mna deal nao.
tundu lisu anawapelekesha mpaka wanahema na ku.........,ati tutaleta viwanda mtaweza viwanda nyinyi kama katundu lisu kanawarusha ka xxchura.........
 
Waziri Mkuu ameyasema hayo sasa hivi wakati anaendelea kutoa hotuba ya kufunga Bunge la 11 la Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania.
Waziri Mkuu amewataka Wabunge wa Upinzani kufikiria upya uamuzi wao wa kuwanyima wananchi haki ya kuwawakilisha. Waziri Mkuu amewakumbusha Wabunge wa Upinzani kuwa Mbunge amepewa haki ya kinga anapokuwa Bungeni na kwa maama hiyo hawajafungwa mdomo.

Hawaja fungwa midomo lakini wakiongea mnawaingizia polisi na mbwa ndani ya bunge.
Vichekesho vinaendelea. Kama wana kinga wakiwa bunheni hao polisi mnawaita ukumbini kulinda majambazi???

Halafu huo utafiti kwamba wananchi wamegundua upinzani haujakomaa aliufanya lini? Maana sisi tunajua upinzani umekomaa sana ndio maana Ccm inatumia dola kuwanyamazisha wapinzani.

Na utafiti wetu ni pale walipo pata kura zaidi ya milioni sita na Chama chenye miaka 50 kupata kura milioni nane.
 
1467283555945.jpg
1467283578866.jpg
 
Chama kilichoizamisha nchi kwenye rindi la huduma mbovu za afya,elimu,maji,utendaji duni serikalini,ubadhirifu wa Mali ya umma nk. ndiyo kinajua siasa? Viiongozi wetu hawakomi kutushangaza!!
 
Back
Top Bottom