Waziri mkuu wa zamani wa Italia Silvio Berlusconi ahukumiwa jela miaka 4

Kule mahakama ni tofauti kabisa na chama, huku kwetu mwenyekiti wa chama tawala taifa anaweza kutoa hukumu na hukumu ikaenda tu kusomwa mahakamani, majaji feki, mahakimu rushwa tuu?!! Nidhamu ingeanzia kwa wezi wa epa na matapeli wa richmond, lakini walaaa, eti wenyewe nchi na vyombo vya dola vishatiwa mfukoni, fisadi anatembea juu ya vichwa vya walala hoi watanzani, we need to eliminate this ****n bulsht ccm system
 
Nimekuwa nikifuatilia katika jamvi hili ni watu wangapi wameweza kudadavua hali ya utawala wa kisheria na utoaji haki wa vyombo vya sheria hapa nchini, sikuona lolote. Na je, mahakama zetu zimejifunza nini kwa kuacha kuwalinda viongozi wasio waadilifu na kuwatia hatiani pindi wanapokutwa na hatia za ubadhilifu wa mali ya umma kama ilivyotokea kwa aliyekuwa waziri mkuu wa Italia Bw. Belusconi? Soma hii kwa ufupi “Prosecutors have demanded a sentence of 3 years and eight months for Berlusconi and three years and four months for the chairman of his Mediaset conglomerate, Fedele Confalonieri”. Hebu tulijadili.
 
Kinachonifurahisha ni namna mikakati ya wenzetu inavyofanikiwa,

Wakiamua kukuua kisiasa unakufa kweli na unakosa kabisa sifa ya kuwa kiongozi, kumbuka ya Mfaransa Mr Khan,

Sasa kwetu mbinu ni dhaifu sana, hakuna mikakati stahiki ya vita vya kisiasa!

Nasi tuna mbinu zetu za kumalizana kisiasa mzee si tunavuana magamba? Ingekuwa kwetu hawa wanaonunua Kiwira wakiwa madarakani na kusaini mikataba ya mtu na mkewe pale Tanesco wangepotelea jela lkn nani wa kuwagusa. Katiba inasema wazi hata akimtandika mtu risasi ya utosi adharani asishitakiwe itakuwa kupiga dili la hela.
 
Back
Top Bottom