Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachonifurahisha ni namna mikakati ya wenzetu inavyofanikiwa,
Wakiamua kukuua kisiasa unakufa kweli na unakosa kabisa sifa ya kuwa kiongozi, kumbuka ya Mfaransa Mr Khan,
Sasa kwetu mbinu ni dhaifu sana, hakuna mikakati stahiki ya vita vya kisiasa!
Democracy good job .Waziri mkuu wa zamani wa Italia na mmoja wa wanasiasa mashuhuri na mwenye mbwembwe Ulaya Maghari amehukumiwa kwenda jela miaka minne kwa kosa la kufuja kodi ya umma,
Amesomewa hukumu hiyo leo mjini Milan, na amepewa siku 30 za kukata rufaa.
japo ana option ya ku-appeal ila tu hukumu inatosha kabisa kuwa fundisho.
Waziri mkuu wa zamani wa Italia na mmoja wa wanasiasa mashuhuri na mwenye mbwembwe Ulaya Maghari amehukumiwa kwenda jela miaka minne kwa kosa la kufuja kodi ya umma,K
Amesomewa hukumu hiyo leo mjini Milan, na amepewa siku 30 za kukata rufaa.[/
waw
huku kwetu sijui tuna nini...nimefurahia hiyo hukumu,eid njema my dear
Ni kwa kosa la ukwepaji kodi.
Source: CNN.
asante, Iddi njema na wewe.
Mie nimefurahi mno.
Unakumbuka na wale wanasayansi wa hali ya hewa walioshindwa kutoa tahadhari ya kutosha ya tetemeko, nao wameswekwa miaka sita sita na faini ya kutosha.
TMA ya hapa wanatudanganya wee lakini tunacheka cheka tu.
Yeah,ni kwa sababu wenzetu wana political culture/ethos