Waziri mkuu wa zamani wa Italia Silvio Berlusconi ahukumiwa jela miaka 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri mkuu wa zamani wa Italia Silvio Berlusconi ahukumiwa jela miaka 4

Discussion in 'International Forum' started by Yericko Nyerere, Oct 26, 2012.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Waziri mkuu wa zamani wa Italia na mmoja wa wanasiasa mashuhuri na mwenye mbwembwe Ulaya Magharibi amehukumiwa kwenda jela miaka minne kwa kosa la kufuja kodi ya umma,

  Amesomewa hukumu hiyo leo mjini Milan, na amepewa siku 30 za kukata rufaa.

  UPDATES: Habari Kamili hii.

  An Italian court on Friday sentenced former prime minister Silvio Berlusconi to four years in jail for tax fraud in connection with the purchase of broadcasting rights by his Mediaset television company.

  Berlusconi has the right to appeal the ruling two more times before the sentence becomes definitive and will not be jailed unless the final appeal is upheld. Prosecutors had asked for a jail sentence of three years and eight months.

  The court also ordered damages provisionally set at 10 million euros ($12.96 million) to be paid by Berlusconi and his co-defendants to tax authorities.

  The ruling comes two days after Berlusconi, 76, confirmed he would not run in next year's elections as the leader of his center-right People of Freedom (PDL) party.

  A separate trial over accusations that Berlusconi paid for sex with an underaged prostitute is currently being heard in Milan. He denies all charges against him.

  The four-time prime minister and other Mediaset executives stood accused of inflating the price paid for TV rights via offshore companies controlled by Berlusconi, and skimming off part of the money to create illegal slush funds.

  source :Reuters

   
 2. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Former prime minister of Italy sentenced 4yrs in jail for tax evasion. Source CNN breaking news now
   
 3. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa Tanzania wala asngeguswa, tena angegombea urais 2015
   
 4. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  ndo maana wana songa mbelee..tz siasa 2pu upuuz m2pu
   
 5. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Wenzetu wanaongoza nchi kwa kufuata katiba na sheria, sisi tunafuata undugu na uswahiba zaidi!
   
 6. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #6
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Unaweza kuwa ndio mwana wa kufilisika klabu yake ya soka ya AC Milan.
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  haya mambo yatafika lini huku kwetu?
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  japo ana option ya ku-appeal ila tu hukumu inatosha kabisa kuwa fundisho.
   
 9. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #9
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Mzee wa strippers alikua kwenye mkakati wa kurudi tena kuchukua uongozi wa chama

  Actually judiciary system iko independent kwelikweli.Bado case ya ku-date under age
   
 10. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #10
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Yatachelewa sana ama hayatafika kabisa kwani wahanga wa mfumo huu ndio haohao wanaozuia yasije
   
 11. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,468
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Hakuna binadamu yuko juu ya sheria kwa maana kuwa mkuu wa kaya hakumaanishi tiketi ya umalaika mtotenda makosa.Hivyo kumburuza mahakamani na kumpa mvua nne ni ukomavu wa mihimili yaTaifa linaloitwa Taifa.Lakini Afrika karibu yote bado kabisa.
   
 12. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,363
  Likes Received: 2,990
  Trophy Points: 280
  Wenzetu wanaweza ila sie longolongo
   
 13. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  It is unlikely that he will go to jail.
   
 14. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #14
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Kinachonifurahisha ni namna mikakati ya wenzetu inavyofanikiwa,

  Wakiamua kukuua kisiasa unakufa kweli na unakosa kabisa sifa ya kuwa kiongozi, kumbuka ya Mfaransa Mr Khan,

  Sasa kwetu mbinu ni dhaifu sana, hakuna mikakati stahiki ya vita vya kisiasa!
   
 15. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Aliyeko juu mngoje chini, asiposhuka mfuate huko huko. Hapa kwetu tunakaa na kushindwa kuwafuatilia hawa mafisadi.
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  lakini wananchi tukiamua, hatuwezi??

  Hatuwezi kuwamwaga waliopo kwani??

  Lazima kuna suluhisho mahali fulani.

   
 17. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,130
  Likes Received: 1,214
  Trophy Points: 280
  Ni somo zuri sana hili kwa hapa kwetu. Na ni vizuri zaidi katiba mpya iundwe ili wale maraisi wezi (Mkapa na Kikwete) wahukumiwe kwa wizi wa mali ya nchi. This has to happen.
   
 18. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #18
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Hivi tuendelee kuamini kuwa ipo siku au tuache ni upepo tu utapita?
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  umeona eeh.

  Ana option ya ku-appeal afu unaona wanavyoongelea maoni?

  Naona ata-appeal, he is going nowhere.

   
 20. M

  Matarese JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wewe umesema kweli kabisa mwanangu, huyu jamaa kwenda jela sio rahisi hata kama kahukumiwa hivyo, Mafia mob hawatakubali wala hawataruhusu. Just wait and see!
   
Loading...