Waziri Mkuu wa zamani Ehud Olmert afungwa jela miezi 19

gogomoka

Senior Member
Jun 13, 2008
124
89
Waziri Mkuu wa zamani wa Israel alihukumiwa miaka 7 baadaye mahakama ikampunguzia ikabaki miezi 19. Ameripoti gerezani kuanza kifungo jana. Ameshitakiwa na kuhukumiwa kwa rushwa na obstruction of justice.

Muhimu katiba mpya ya Tanzania ituruhusu kwa Rais waliopita kuweza kushitakiwa na kufungwa. Haya "majibu" ya Magufuli mpaka yanatokea na kuhangaika kuyatumbua tulikuwa na Rais. Ifike mahali tuache unafiki na kujichekesha. Waliokuwa madarakani kuanzia JK inabidi watueleze mangapi walikuwa wanayafahamu na hakuchukua hatua.

http://www.nytimes.com/2016/02/16/w...=WhatsNext&contentID=WhatsNext&pgtype=article
 
Jk hakuwa na huruma ya dhati
Kusaidia wanyonge tulio wengi nchi hii kila mtu alikuwa huru kufanya alicho kiweza bila kuwa na hofu ya sheria .
 
Back
Top Bottom