Waziri Mkuu wa Uholanzi akiwasili ofisini kwa usafiri wa baiskeli. Je, viongozi wetu wanaweza kufanya hivi?

wewe unayedhani kwenda na baiskeli kazini eti ni kutofuja mali ni ujinga mtupu. huo ni umasikini wa fikira sahihi.
 
kwa wenzetu ni kawaida na ni moja ya mazoezi. Hata usalama siyo kama kwetu ambapo kiongozi ni wakati wowote anaweza kukabwa koo.
 
Mkuu kwa wenzetu kupanda Baiskel siyo kubana matumizi ni sehemu ya kufanya mazoezi. Hata mayor wa London anakwenda kazini na baiskeli tena kila siku


Mie naona hata kama ni kufanya mazoezi basi ni njia bora ya kuua Njiwa wawili kwa Jiwe moja.

Zoezi anafanya Lakini wakati huo huo pia amebana matumizi.
 
Prime Minister of Netherlands Mark Rutte on a bicycle going to wo.jpg


Prime Minister of Netherlands Mark Rutte on a bicycle going to work while on the right picture its President of Kenya Uhuru Kenyatta going in a convoy for a hair cut.

WAZIRI MKUU WA UHOLANZI ANAKWENDA OFISINI NA BAISKELI WAKATI RAIS WA KENYA BWANA UHURU KENYATA ANAKWENDA KUKATA NYWELE NA MSURURU WA MAGARI!!!!!!
 
Hii sio Kenya naona Cadillac hapo za kutosha na hizo gari za mbele zina wazungu. Labda kama mkuu mzizi mkavu ameweka picha ili tujaribu kupata picha y misafara ya viongozi
 
Hii sio Kenya naona Cadillac hapo za kutosha na hizo gari za mbele zina wazungu. Labda kama mkuu mzizi mkavu ameweka picha ili tujaribu kupata picha y misafara ya viongozi

Ata mimi nimeona hivyo hivyo sasa sijui kenya wanakuwa na drivers ma-white people
 
Acheni hizo, mbona hayo magari Ni msafara wa mazishi tena marekani ndio wanaendesha kulia na hizo plates Ni za NY
 
Acheni hizo, mbona hayo magari Ni msafara wa mazishi tena marekani ndio wanaendesha kulia na hizo plates Ni za NY
Hizo ni number plates za Uholanzi na huo msafara ulikuwa ni msafara wa maiti za wahanga wa ndege iliyotunguliwa na bomu la Urusi kwenye anga ya Ukraine. Kama ulivyosema, magari mengi hapo yana msalaba. MziziMkavu keshavuta bange zake sasa kaamua kutusanif.
 
Huyu mzizimkavu, sijui uelewa au uzee, maana kazi yake huwa kucopy na kupaste jf, Si Kila jambo la fcbk lazima ulete jf
 
Back
Top Bottom