Waziri Mkuu wa Uholanzi akiwasili ofisini kwa usafiri wa baiskeli. Je, viongozi wetu wanaweza kufanya hivi?

Huyu naona alikuwa anafanya maigizo tu akiwa anapigwa picha. Kama ni usafiri wake wa kawaida, mpiga picha wa video alitoka wapi?
 
Huyu naona alikuwa anafanya maigizo tu akiwa anapigwa picha. Kama ni usafiri wake wa kawaida, mpiga picha wa video alitoka wapi?
.
Can-we-ever-imagine-Pakistani-prime-minister-using-cycle-to-go-to-office.jpg

Ruttefiets.jpg
 
excercise.....

is good for your heart.....:whistle::whistle::whistle::confused2::confused2:
 
Huyu naona alikuwa anafanya maigizo tu akiwa anapigwa picha. Kama ni usafiri wake wa kawaida, mpiga picha wa video alitoka wapi?

usiongee vitu kama huvijui...mawaziri holland wanapanda tram,metro na mabasi....na baiskeli ndo usafiri wao mkubwa ....source mimi mwenyewe
 
SAM_0112.JPG
hii ndo ofisi yake inavyoonekana kwa mbele. ofisi yenyewe in hapo kwenye huo mlango

SAM_0131.JPG hii ni ofisi yake kwa nyuma, hako ka msonge ndo ofisi

Jamani hawa wenzetu wako serious na maisha na ndo maana wanaendelea, uwaziri mkuu siyo kuwa na maishu kibao, na
Kwa sasa holand (Netherland) hakuna serikali baada ya kutokea mfumuko wa bei kwa asilimia 4 tu kufuatia kuyumba kwa euro, waziri mkuu huyo unayemuona na baiskeli yake alijiuzuru, na wanategemea kufanya uchaguzi mwezi wa 9.
mi kwa sasa nipo hapa amsterdam, na wiki iliyopita nilikuwa the hague, na ndo iliko hii ofisi ya waziri mkuu. so hata kukutana naye amepanda trum (hizi ni train za ndani ya jiji, ni kama daladala kwetu huko, lakini za treni sasa) ni kitu cha kawaida kabisa

kwa kweli ni jambo jema la kujifunza, lakini kwa kuimarisha mfumo kwanza maana kinachotusumbua ni kujilimbikizia mali, huku kwao kuwa na mali nyingi siyo ishu maana mwisho wa siku hazina maana sana kwako, bali jamii kwanza, wewe baadaye

Huyu naona alikuwa anafanya maigizo tu akiwa anapigwa picha. Kama ni usafiri wake wa kawaida, mpiga picha wa video alitoka wapi?
 
Wakati huo huo leo nimeposhana na Pinda saa 3.30 asubuhi akiwa anaenda kazini akiwa ndani VX V8 nyeusi akiwa anasoma gazeti lake.Nilishangaa sana maana alipinga vita sana magari ya kifahari!!
 
url

Bangkok, 15 Aug (THAINDIAN NEWS) The Thai government has recruited an 8-year-old orangutan to be the face of the country’s road safety campaign. Thai authorities say the country’s traffic accidents are not acceptable and they have subsequently launched the campaign to reverse the trend and bring the numbers down.

The orangutan can ride a bicycle and the animal always does so while wearing a helmet. Officials were impressed and they are encouraging children to have their helmets on when they get on their bicycles. Helmets protect the skull during a crash. Head injuries account for the loss of several deaths when accident happens.

The animal is named Bam and several pictures of the animal on a bicycle wearing helmet have been published in several newspapers. Bam’s bicycle has stabilizers to help balance the animal while riding. The animal lives in the Dusit Zoo and the government made the announcement of the creature’s new job on Friday.

Kwetu hakuna kitu kama hicho, watu wana taka utukufu for absolutely nothing, uwajibikaji zero, results hakuna, still wanataka watembelee mashangingi na miposho isiyo na kikomo, african!!! sijui ni ujinga ulimbukeni unatusumbuaga
 
wakwetu ni misuti, mibegi, migari mikubwa na kulakula

ndio maana wengine wamekua kama mifuko ya rambo iliyojaa taka, wakifungua midomo harufu, waknyanyua mikono harufu, wakiachia mashuzi harufu... mradi ni shida tu

wao Ni kula, kuvimba na kuachia baraa
 
Pinda ataweza wapi yule, anajifanya mtoto wa mkulima wa ki-uwongo-uwongo, badaye anawasaliti watoto wa wakulima...

Mtoto wa mkulima wa ukweli ukwelii alikuwa ni J.K KAMBARGE NYERERE peke yake, yule hizo za baskeli ndio zilkuwa zake pamoja na uprezoo....

Leaders kama wao ni very rare in this World we live...
 
Najaribu kupata picha miili ya vigogo wetu huku jinsi ilivyo, halafu najaribu kupata picha eti anaendesha baiskeli
 
wakwetu ni misuti, mibegi, migari mikubwa na kulakula

ndio maana wengine wamekua kama mifuko ya rambo iliyojaa taka, wakifungua midomo harufu, waknyanyua mikono harufu, wakiachia mashuzi harufu... mradi ni shida tu

wao Ni kula, kuvimba na kuachia baraa

ha ha ha haaaaa,kweli mkuu,watu wanajiachia saaana,jitu linanenepeana mpaka linakosa akili bana,likikugeukia ka nyang'au heee!
 
wakwetu ni misuti, mibegi, migari mikubwa na kulakula

ndio maana wengine wamekua kama mifuko ya rambo iliyojaa taka, wakifungua midomo harufu, waknyanyua mikono harufu, wakiachia mashuzi harufu... mradi ni shida tu

wao Ni kula, kuvimba na kuachia baraa

Na kusumbua watu kwa foleni na kelele nyingi za honi, eti mhishimiwa anapita
 
Waziri mkuu wa uholanzi hutumia usafiri wa baiskeli kwenda ofisini kwake, akifika huko ndo hutumia usafiri wa gari la ofisi katika utekelezaji wa shughuli mbali mbali za kiofisi. Je kwa watanzania hili linawezekana? si wataona kama wanajidhalilisha?

attachment.php
 
mmnh, ni kweli. Lakini kingine kichochangia ni barabara nzuri. Kwa barabara za Bongo zilivyo na mahandaki, kero ya askari wa TIGO, vibaka, daladala nk vinakwamisha usafiri huo kwa viongozi wetu.
Lakini ati Mtoto wa Mkulima upo tayari kupanda baiskeli, kweli? Na wengi hamjui hata kuendesha baiskeli. Kwa Bongo haiwezekani!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom