Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,193
- 4,661
We kajisaidie getini ikulu km hujatolewa kwenye mediaYale yale aliyosema Jaji Warioba viongozi ndio media zinawapa promo kila wanachofanya hadi wakienda chooni wana report, lakini wananchi Wamefanya nini na wanataka nini media ziko kimya, media siyo tena sehemu ya kuibua mijadala na mambo mapya katika Jamii.
Yale yale aliyosema Jaji Warioba viongozi ndio media zinawapa promo kila wanachofanya hadi wakienda chooni wana report, lakini wananchi Wamefanya nini na wanataka nini media ziko kimya, media siyo tena sehemu ya kuibua mijadala na mambo mapya katika Jamii.
Duh yamekua hayo??Tumerithi kutoka kwao
Wakati wao habari zote zilikuwa kuhusu wao na zikitoka kwa wananchi ni zile waliowapanga kuwasifia!
Unajua watu walikuwa wanatumwa kuandika mashairi wakimaliza chini inaandikwa Mwandishi wa yale Mashairi ni Rais wa Jamhuri wakati Mwandishi mwenyewe ni Marehemu Kada wa Tanu na kamanda wa Vijana Marehemu Sheikh Rajab Diwani
Acha uongo! Msikiti wa Ghadafi haupo Chamwino. Pia mara zote amekuwa akiswali hapo sijui inakuwaje hili pia lianzishiwe thread unless unamaanisha ameswali msikiti mpya uliopo Chamwino ikulu ule uliojengwa kwa harambee ya JPMMhesh Majaliwa ameswalia kwenye Msikiti wa Gadaffi uliopo Chamwino Jijini Dodoma
Sawasawa nimerekebishaAcha uongo! Msikiti wa Ghadafi haupo Chamwino. Pia mara zote amekuwa akiswali hapo sijui inakuwaje hili pia lianzishiwe thread unless unamaanisha ameswali msikiti mpya uliopo Chamwino ikulu ule uliojengwa kwa harambee ya JPM
Sawasawa nimerekebishaAcha uongo! Msikiti wa Ghadafi haupo Chamwino. Pia mara zote amekuwa akiswali hapo sijui inakuwaje hili pia lianzishiwe thread unless unamaanisha ameswali msikiti mpya uliopo Chamwino ikulu ule uliojengwa kwa harambee ya JPM
Mimi kama muislam siwezi kusali kwenye huo msikiti...huo ndio ukweliMhesh Majaliwa ameswalia kwenye Msikiti Mpya ukiojengwa maeneo ya Chamwino Jijini Dodoma
Kwa nini usisali ndugu muislamu ?Mimi kama muislam siwezi kusali kwenye huo msikiti...huo ndio ukweli