Waziri Mkuu Wa Tanzania Mhesh Kassimu Majaliwa Ashiriki Swala Ya Ijumaa Leo Ijumaa Kwenye Msikiti wa Gadaffi

Uzalendo Wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
518
1,000
Mhesh Majaliwa ameswalia kwenye Msikiti Mpya ukiojengwa maeneo ya Chamwino Jijini Dodoma
 
Attachments

 • FB_IMG_16058887115616384.jpg
  File size
  75.7 KB
  Views
  0
 • FB_IMG_16058887073497769.jpg
  File size
  105.7 KB
  Views
  0
 • FB_IMG_16058887024729063.jpg
  File size
  83.4 KB
  Views
  0

swahiba92

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
2,193
2,000
Yale yale aliyosema Jaji Warioba viongozi ndio media zinawapa promo kila wanachofanya hadi wakienda chooni wana report, lakini wananchi Wamefanya nini na wanataka nini media ziko kimya, media siyo tena sehemu ya kuibua mijadala na mambo mapya katika Jamii.
 
Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
4,667

We kajisaidie getini ikulu km hujatolewa kwenye media
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,320
2,000
Tumerithi kutoka kwao

Wakati wao habari zote zilikuwa kuhusu wao na zikitoka kwa wananchi ni zile waliowapanga kuwasifia!

Unajua watu walikuwa wanatumwa kuandika mashairi wakimaliza chini inaandikwa Mwandishi wa yale Mashairi ni Rais wa Jamhuri wakati Mwandishi mwenyewe ni Marehemu Kada wa Tanu na kamanda wa Vijana Marehemu Sheikh Rajab Diwani
Yale yale aliyosema Jaji Warioba viongozi ndio media zinawapa promo kila wanachofanya hadi wakienda chooni wana report, lakini wananchi Wamefanya nini na wanataka nini media ziko kimya, media siyo tena sehemu ya kuibua mijadala na mambo mapya katika Jamii.
 
GeoMex

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
3,756
2,000
Tumerithi kutoka kwao

Wakati wao habari zote zilikuwa kuhusu wao na zikitoka kwa wananchi ni zile waliowapanga kuwasifia!

Unajua watu walikuwa wanatumwa kuandika mashairi wakimaliza chini inaandikwa Mwandishi wa yale Mashairi ni Rais wa Jamhuri wakati Mwandishi mwenyewe ni Marehemu Kada wa Tanu na kamanda wa Vijana Marehemu Sheikh Rajab Diwani
Duh yamekua hayo??

Cc Mohamed Said
 
ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
4,821
2,000
Mhesh Majaliwa ameswalia kwenye Msikiti wa Gadaffi uliopo Chamwino Jijini Dodoma
Acha uongo! Msikiti wa Ghadafi haupo Chamwino. Pia mara zote amekuwa akiswali hapo sijui inakuwaje hili pia lianzishiwe thread unless unamaanisha ameswali msikiti mpya uliopo Chamwino ikulu ule uliojengwa kwa harambee ya JPM
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
27,530
2,000
Dunia ina vituko!Unashiriki katika mpango mzima wa kuiba kura za urais na kuteka wagombea wa ubunge kwenye jimbo lako pamoja na kuwatisha ili uonekane umepita bila kupingwa na kwa hiyo unapendwa sana halafu unaendelea kuingia kuswali misikitini kama kawaida!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom