Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassimu Majaliwa atembelea Mradi wa Maji wa thamani ya Tsh. Bilioni 900 unaojengwa Wilayani Chemba, Mkoani Dodoma

Muwe mnafuatilia bajeti mbalimbali za wizara mda ukifika
Hilo bwawa ni kweli linajengwa kwa bln 900 na linajengwa maalumu kwa ajili ya kuhakikisha upatikanaji wa maji Safi na salama kwa wakazi wa jiji la Dodoma na maeneo ya jirani
Supply yake itakidhi mahitaji kwa zaidi ya miaka 20 ya ongezeko la wakazi wa jiji la Dodoma.

Kama hiyo haitoshi mjiandae na ujenzi wa mabwawa mengine 2 mkoani Njombe kwa ajili ya Umeme apart from stuglaz maana serikali inalenga kuwa na mgwatt 10,000 by 2025

By 2025 kuwe na 10,000mg? Jambo hilo linawezekana? Nchi hii ina uwezo huo au ni kutaka kufurahisha genge? Umeme sasa kuna mgao nchi nzima hakuna hata maelezo, ndio itakuwa kuwa na 10,000mg by 2025?
 
Ndugu unaifahamu bilioni 900 kweli? Kwa bwawa la wilaya ya Chemba tu, hebu ongezea maelezo kwanza maana hiyo ni karibia nusu ya gharama ya SGR dar hadi morogoro.
Gharama inazidi hata ile ya ujenzi wa daraja la Busisi bil. 700. Hatari sana!
 
Muwe mnafuatilia bajeti mbalimbali za wizara mda ukifika
Hilo bwawa ni kweli linajengwa kwa bln 900 na linajengwa maalumu kwa ajili ya kuhakikisha upatikanaji wa maji Safi na salama kwa wakazi wa jiji la Dodoma na maeneo ya jirani
Supply yake itakidhi mahitaji kwa zaidi ya miaka 20 ya ongezeko la wakazi wa jiji la Dodoma.

Kama hiyo haitoshi mjiandae na ujenzi wa mabwawa mengine 2 mkoani Njombe kwa ajili ya Umeme apart from stuglaz maana serikali inalenga kuwa na mgwatt 10,000 by 2025
Lita 128,000 kwa siku hat robo ya wakazi wa dodoma kww sasa hazitoshi.
 
Uchaguzi umeisha salama.

Serikali imeanza kwa kishindo Kutekeleza ahadi zake kwa Watanzania.

Mradi huo wa Maji wa Bwawa la Maji Farkwa unaojengwa Kijiji cha Mombose, Wilayani Chemba Mkoani Dodoma, utakuwa na uwezo wa kuzalisha lita za ujazo 128, 000 kwa siku.

Gharama za Ujenzi wa mradi huo wa kimkakati zitatolewa kutokana na mapato ya ndani kupitia makusanyo ya kodi zetu.

Waziri Mkuu ameagiza Mamlaka husika kusimamia kikamilifu Ujenzi wa mradi huo Muhimu.

Matumizi sahihi ya Rasilimali Zetu huleta maendeleo Chanya kwetu Sote.

Billion 900 alafu uwezo bwawa 128m3/day daah!!

Ndio madhara ya kuingiza siasa kwenye utaalamu.
 
Ni bwawa kubwa sana.. Wakazi wa vijiji viwili wamehamishwa.. Sio kibwawa kama hivi vya kufugia samaki.. Kwa ukubwa wa bwawa hili, hata meli ya Titanic ikizama inaweza kuchukua miaka sita kuipata ilipozamia!
Ok hapo sawa,,basi wapandikize na sato ili wakazi wadodoma wasihangaike mboga
 
Muwe mnafuatilia bajeti mbalimbali za wizara mda ukifika
Hilo bwawa ni kweli linajengwa kwa bln 900 na linajengwa maalumu kwa ajili ya kuhakikisha upatikanaji wa maji Safi na salama kwa wakazi wa jiji la Dodoma na maeneo ya jirani
Supply yake itakidhi mahitaji kwa zaidi ya miaka 20 ya ongezeko la wakazi wa jiji la Dodoma.

Kama hiyo haitoshi mjiandae na ujenzi wa mabwawa mengine 2 mkoani Njombe kwa ajili ya Umeme apart from stuglaz maana serikali inalenga kuwa na mgwatt 10,000 by 2025
Bwawa lenye 128000 lita kwa siku... hiyo pesa tumepigwa.
 
Tsh bil 900 ni fedha nyingi, ongeza maelezo ni nini haswa kinajengwa na unaenda kuhudumia wilaya ngapi, maana kwa Chemba tu hizi ni pesa nyingi sana.
Hata mimi nashidwa kuelewa logic iliyo tumika kujenga mradi huo wenye gharama za ajabu, halafu kibaya zaidi unambiwa ulazishaji wa maji utakuwa ni lita 124,000 kwa siku!

Hivi manispaa ya Dodoma pamoja na Serikali kuhamia Dodoma matumizi ya maji kwa wakazi wote wa mji wa Dodoma pamoja na vitongoiji vyake ni lita ngapi kwa siku?

Hivi kama Serikali ingeunganisha/tandaza bomba la maji kutoka Tabora/Nzega mpaka Dodoma tukiwekea maanani kwamba Tabora/Nzega wanapata maji kutoka Ziwa Victoria, gharama za kutandaza bomba zingegharimu kiasi gani? Given climate condition ya mji wa Dodoma tuna uhakika gani kwamba bwawa hilo litaweza ku-sustain utumiaji wa maji wa wakazi wa Dodoma all the year round uninterrupted.
 
Back
Top Bottom