Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Sh222bilioni zimelipwa na Serikali kwa wakulima wa zao la korosho.

Hill swali nikijibu atatokea pole² na matusi hapa maana wanazani wote hatujui hesabu. Umesahau ya 1.5t?.
Tuweke kumbukumbu sawa, mwisho wa manunuzi tukumbushane. Walisema korosho zipo tani220000 na zinahitajika tshs billion 660 kuzinunua. Mwisho wa manunuzi kama watakuwa wamelipa billion 300 tutajua wamepora korosho za bil 660 - bil 300 = bil 360. Hivyo watakuwa wamepora wakulima/kagomba korosho za bil 360. Huu ni mfano tu tungojee mwisho wa manunuzi watatumia tshs ngapi.
 
Wawe na mazao mbadala yasiwakute ya wakulima wa kahawa,ili bei ikiporomoka,maana Vietnam anakuja Kwa kasi sana kwenye Kilimo cha korosho,Kenya nao wameanza Kwa kasi Kilimo cha korosho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe ametengua mwaka mpya, utaendelea kutumika mwaka 2018, kwa tafsiri fupi leo ni tarehe 1 mwezi wa 13 mwaka 2018.
 
Tuweke kumbukumbu sawa, mwisho wa manunuzi tukumbushane. Walisema korosho zipo tani220000 na zinahitajika tshs billion 660 kuzinunua. Mwisho wa manunuzi kama watakuwa wamelipa billion 300 tutajua wamepora korosho za bil 660 - bil 300 = bil 360. Hivyo watakuwa wamepora wakulima/kagomba korosho za bil 360. Huu ni mfano tu tungojee mwisho wa manunuzi watatumia tshs ngapi.
Nami ndicho ninachosubiri ili nipigie jibu mstari.
 
Siamini macho yangu na masikio yangu kama pm naye amekuwa mburura kiasi hicho! yaani ulipie tani 67 elfu kati ya tani laki 2 na ushee uanze kutamba barabarani? Yule taahira alisema koroshow itanunuliwa kwa siku 2 tu inaisha kwa wakukima!
 
He hii ndo njia sahihi ya kumkomboa mkulima?.. Mbona kama mnafikiri kwa kutumia matako?.. Hivi kuna Hata mmoja wenu amejiuliza kwa nini mkulima anaamua mwenyewe kwa akili zake timamu,,kuuza korosho kwa MTU tena kwa bei ya chiniii,,ilihali anajua kua akiuza kwa utaribu wa kawaida atapata pesa maradufu?... Nauliza mmewahi kujiuliza why?. Nauliza mbona Mnatoa macho?.. Kama mnataka Kuzibiti hiki kinachoitwa KANGOMBA, PESA ZIJE KWA WAKATI IKIBIDI CASH IN HAND,,,, yaani mkono kwa mkono shilingi!.... Mmechukua korosho tangu mwaka Jana October hadi Leo hii January 2019 holaa na wala dalili za kulipa hakuna,,, Mlichokilipa Ni below ya 20% ya mnachodaiwa...... Mlianza kutapeli pesa za export levii Leo mnakuja kuwanyonga kabisaa ,,,,,,,,,,,,,kuna siku hawataogopa kuwapigia mashangazi zao

Huyu pm Hanna kitu kichwani anaendeshwa kama robot.no zero brain ningekua Mimi ningeisha mwachia jiwe full kujidhalilisha.kama wangetaka hivyo walitakiwa waanze kuwagharamikia pembejeo nk then wakataze kangomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amesema baadhi ya watu wamekutwa na kilo zaidi ya 1,500 na kushindwa kuonyesha mashamba yao ya mikorosho hali inayodhihirisha kwamba wamenunua kupitia kangomba. Waziri Mkuu amesema baadhi ya waliokutwa na korosho nyingi ni vijana wadogo ambao hawana hata uwezo wa kifedha hivyo Serikali itahakikisha inawakamata watu wanaowatuma.

Amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha wakulima wananufaika na kilimo, kwamba biashara ya kangomba lazima idhibitiwe. Majaliwa ambaye leo ameanza ziara ya kikazi wilayani Ruangwa mkoani Lindi amesema zoezi la ulipaji kwa wakulima wa korosho linaendelea, wakulima wawe na subira. Serikali iliamua kununua korosho zote za mwaka huu baada ya kubaini wafanyabiashara wamepanga kuwadhulumu wakulima kwa kupanga kununua kwa bei ndogo.

Wakati huo huo, Waziri Mkuu ametembelea eneo la ujenzi wa shule ya sekondari ya kata ya Matambalale wilayani Ruangwa na kuwataka wahakikishe ujenzi unakamilika Amewataka wananchi wa kata hiyo kushirikiana na kuhakikisha wanachangia nguvu kazi katika ujenzi wa vyumba vya madarasa ili mwakani wanafunzi waanze kusoma.

Amesema wanafunzi zaidi ya 200 wamefaulu na hawana pa kwenda ni lazima ujenzi wa shule zote za sekondari za Matambalale, Chibura na Ruchelegwa ukamilike. Waziri Mkuu amesema hadi Januari 10, 2019 shule hizo lazima ujenzi wake ukamilike ili wanafunzi waanze kusoma
.
Kukiri kukosea sio dhambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom