Waziri Mkuu wa Sudan, Abdalla Hamdok avunja Baraza la Mawaziri

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Waziri Mkuu wa Sudan, Abdalla Hamdok amevunja Baraza la Mawaziri na anatarajiwa kutangaza jipya leo. Taarifa ya Ofisi yake imesema Mawaziri watasalia Ofisini hadi wapya watakapochukua madaraka na makabidhiano kamili.

Nchi hiyo imekuwa chini ya Baraza la Mpito tangu 2019 wakati Rais wa zamani, Omar al-Bashir alipoondolewa. Sudan inaelekea kwenye utawala wa kidemokrasia baada ya kuondolewa kwa al-Bashir ambaye alikuwa Rais kwa takriban miaka 30.

======

Sudan's Prime Minister Abdalla Hamdok on Sunday dissolved the cabinet and is expected to announce a new one on Monday.

In a statement, the prime minister's office said the ministers would remain in office until the new ones take office and full handover done.

Sudan has been under a transitional council since 2019 when former President Omar al-Bashir was ousted.

The country is moving towards democratic rule after the removal of al-Bashir who had been president for nearly 30 years.
 
nilijuaa lazima atalipangua,maana ilikua ngumu Sana kwake ,kwa yaliyokuwa yakiendelea.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom