Waziri Mkuu wa Sri Lanka awasilisha barua ya kujiuzulu

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Waziri Mkuu wa Sri Lanka Mahinda Rajapaksa awasilisha barua ya kujiuzulu kwa Rais ambaye ni mdogo wake, huku kukiwa na maandamano makubwa kuhusu mzozo mbaya zaidi wa kiuchumi nchini humo tangu uhuru.
-
Kwa majuma kadhaa sasa nchi hiyo imekumbwa na vurugu kutokana na maandamano mbali mbali ya Raia wenye hasira kumshurutisha Rais ajiuzulu kutokana na kuongezeka kwa gharama za maisha

........................................................................

Sri Lanka’s Prime Minister Mahinda Rajapaksa has offered to resign, says a government official, as protests over the island nation’s economic crisis turn violent.

“The prime minister has sent his letter of resignation to the president,” the official said on Monday, declining to be named.

President Gotabaya Rajapaksa is the prime minister’s younger brother.

Mahinda Rajapaksa’s spokesman Rohan Weliwita said the 76-year-old leader sent his resignation to clear the way for a “new unity government” suggested by the president to fight the country’s worst economic crisis since independence from the British rule in 1948.

Rajapaksa’s offer to quit came hours after his party’s supporters stormed a major protest site in Colombo, attacking anti-government demonstrators and clashing with police who used tear gas and water cannon to drive them back.

Supporters of Sri Lanka’s ruling party set fire to tents at a protest

Protests against the powerful Rajapaksas have raged for weeks, with thousands demanding the influential family quit for mishandling the economy.

Earlier on Monday, hundreds of ruling party supporters rallied outside the prime minister’s official residence before marching to an anti-government protest site outside the presidential office

Source: Aljazeera
 
Kaka yake ambae ni Rais angekataa asijidhulu 😜😜
 
Safi sana sababu ni Protest za wananchi against inflation, gharama za maisha zimepanda, raisi hana uwezo na uelewa wa jinsi ya kutatua matatizo ya wananchi, ameachia huku kwetu wanaendelea kufungua cinema, hawajiulizi panya road wanatokea wapi ?
 
Hivi hawa si ndo china alichukua bandari yao?
 
Sri Lanka wanapaswa kuja kibaha kwny Chuo cha Chama cha Mapinduzi kujifunza Siasa na namna ya kuwafanya wananchi wavumilivu na wenye subira panapotokea hali ngumu ya uchumi
 
Back
Top Bottom