Waziri Mkuu wa Msumbiji apinga wito wa wananchi kupatiwa silaha ili kukabiliana na mashambulizi ya wanamgambo

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Waziri Mkuu wa Msumbiji, Carlos Agostinho do Rosario amepinga wito wa wananchi kuwa na silaha katika Jimbo la Cabo Delgado ili kudhibiti mashambulizi ambayo yamekuwa yakiganywa na Wanamgambo mara kwa mara

Amesema hatua hiyo ni hatari na kusisitiza silaha zinatakiwa kuwa katika mikono ya watu sahihi ambao ni Vikosi vya Ulinzi na Usalama pamoja na vingine vinavyoaminika

Wakazi wa Mji huo wamekuwa wakiomba kupatiwa silaha kwa muda mrefu ili wasaidie Vikosi vya Usalama kukabiliana na mashambulizi ya Wanamgambo

====

Mozambique's Prime Minister, Carlos Agostinho do Rosario, has opposed calls to arm civilians in the gas-rich northern province of Cabo Delgado to combat Islamist insurgents in the region.

Residents in the region have always been requesting for guns to help the security forces.

The prime minister opposed the idea during a security meeting in the province's capital, Pemba.

He said the move would be "dangerous and unsustainable".

He insisted weapons should be in the hands of the "rightful people", namely the defence and security forces and those they trust.

Mr do Rosario said civilians should have a hoe to cultivate the land and a pen to contribute to the country’s development.
 
Aliyetoa huo wito hata kama alisema kwa bahati mbaya anaweza kuwa miongoni mwa wapumbavu wachache waliosalia katika sayari hii
 
Sasa mbona hao waliopewa silaha kihalali wanashindwa kuwalinda raia!?
Kwani hivi Sasa hao mgambo wanapata wapi silaha?
Ni rahisi kwa silaha kuangukia tena kwenye mikono ya wanamgambo hayo....kwa kua wana mgambo wana mafunzo ni rahisi kufanya ambush kwa raia wasio na mafunzo na kupora sikaha hizo
 
Sasa mbona hao waliopewa silaha kihalali wanashindwa kuwalinda raia!?
Kwani hivi Sasa hao mgambo wanapata wapi silaha?
Hilo swala.la wanamgambo wanapata wapi silaha ndo ujuekua ymtatizo sio sogo kama unavyodhani
 
Back
Top Bottom