Waziri mkuu wa kwanza wa Tanzania

Naomba msaada kujua waziri mkuu wa kwanza wa Tanzania alikuwa nani?
Huyu nae eti ni kada wa ccm kweli ccm imejaa vilaza wewe umesoma wp? Hilo swali hata hapo lumumba umeshindwa kuuliza? Unaleta jf maswali ya darasa la nne
 
Huyu nae eti ni kada wa ccm kweli ccm imejaa vilaza wewe umesoma wp? Hilo swali hata hapo lumumba umeshindwa kuuliza? Unaleta jf maswali ya darasa la nne
Usimbeze kauliza swali very tricky pengine bila kujuwa. Angalia majibu aliyopewa ndio utaelewa
 
alikuwa ni hayati baba wa taifa mwalimu j.k nyerere

hamkusoma maarifa ya jamii jamani
 
Back
Top Bottom