Waziri mkuu wa kwanza wa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri mkuu wa kwanza wa Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kuku wa Kabanga, Apr 16, 2012.

 1. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  Hodi jamvini wakuu, naomba mnijuze eti ni nani alikuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanzania?
   
 2. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Julius Kambarage Nyerere Kwa Tanganyika, Kwa Tanzania ni Rashid Mfaume Kawawa
   
 3. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  Ahsante mkuu.
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli mkuu upo sahihi ni kawawa
   
 5. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Hivi ni kipindi gani Mwl. Nyerere alimwachia Mzee Kawawa Uwaziri Mkuu ili kuimarisha Chama cha TANU; Kabla ya kupata uhuru au baada ya uhuru!
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ni baada ya Uhuru mkuu.
  hata hivyo alimpa uwaziri mkuu Kawawa baada ya yeye (Nyerere) kuwa Rais.
   
 8. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Baada ya kupata Uhuru.
   
 9. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Ni kweli Nyerere ndiye aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza tangu uhuru 1961 hadi Jamhuri 1962 ndipo akawa rais na kawawa akashika uwaziri mkuu. Ila katika rekodi pia kuna waziri mkuu aliyewahi kuwa na mvi nyingi zaidi ni Edward Lowassa!!
   
 10. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu na waziri mkuu wa kwanza kulia bungeni ni Pinda!
   
 11. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  ila nimekumbushwa mbali sana std i-xii, miaka ya themanini, sijui kama mpaka leo watoto wanajifunza historia na siASA, MAANA hapa juzi tu nimemuuliza student mmoja (jina lake na shule anasoma--majina yamehifadhiwa, ukiniPM nakupa) jina la makamu wa sasa wa rAIS, akaishia kunikodolea macho-- jibu hana, jaaaamanniii naomba soma la historia ya kweli irudi na siasa/civics ifundishwe kwa kiswahili....elimu ya uraia
   
 12. YEHODAYA

  YEHODAYA JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2016
  Joined: Aug 9, 2015
  Messages: 9,592
  Likes Received: 8,656
  Trophy Points: 280
  Naomba msaada kujua waziri mkuu wa kwanza wa Tanzania alikuwa nani?
   
 13. MasterP.

  MasterP. JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2016
  Joined: Jun 5, 2013
  Messages: 4,375
  Likes Received: 2,075
  Trophy Points: 280
  Mwalimu
   
 14. Ekyoma

  Ekyoma JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2016
  Joined: Dec 30, 2015
  Messages: 1,848
  Likes Received: 2,264
  Trophy Points: 280
  Kawawa
   
 15. NDESSA

  NDESSA JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2016
  Joined: May 2, 2013
  Messages: 1,868
  Likes Received: 1,515
  Trophy Points: 280
  JK Nyerere
   
 16. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #16
  Mar 24, 2016
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Ni Kawawa.
  Mwalimu alikuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanganyika na mtoa mada kauliza wa Tanzania
   
 17. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #17
  Mar 24, 2016
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Somo la uraia darasa la kwanza.. . Alikuwa Nyerere
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Mar 24, 2016
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Umeuliza swali lenye mtego
  tulipopata uhuru Nyerere alikuwa waziri mkuu
  na akajiuzulu akamuachia Kawawa....

  halafu tukawa JAMHURI Nyerere akaapishwa Rais...
   
 19. GENTAMYCINE

  GENTAMYCINE JF-Expert Member

  #19
  Mar 24, 2016
  Joined: Jul 13, 2013
  Messages: 22,895
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  Salim Jecha Salim.
   
 20. u

  uungwana vitendo JF-Expert Member

  #20
  Mar 24, 2016
  Joined: Nov 20, 2013
  Messages: 1,045
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 160
  tanzania iliasisiwa 1964
   
Loading...