Kenge (Eng)
JF-Expert Member
- Dec 7, 2006
- 543
- 156
mbona hiyo protokali iliyofuatwa kwenye sherehe ina precedent kwenye katiba tayari, hivyo hivyo.
katiba mpya muhimu.
mbona hiyo protokali iliyofuatwa kwenye sherehe ina precedent kwenye katiba tayari, hivyo hivyo.
Mark you hapa tulikuwa tunasheherekea sikukuu ya bara (Tanganyika) wala sio ya muungano! fikiri kidogo tu!Mi naona ni sawa kabisa Raisi wa Zanzibar kumtangulia Waziri mkuu kwa kuwa. Waziri mkuu ni wa Tanzania bara (Tanganyika) zaidi kuliko kwenye muungano. Hivyo kimadaraka yupo chini ya raisi wa Zanzibar
ili kuepusha malumbano ya kutoka Zenji kwa vile ya kutoka bara huwa yanavumilikaMark you hapa tulikuwa tunasheherekea sikukuu ya bara (Tanganyika) wala sio ya muungano! fikiri kidogo tu!
Mark you hapa tulikuwa tunasheherekea sikukuu ya bara (Tanganyika) wala sio ya muungano! fikiri kidogo tu!Mi naona ni sawa kabisa Raisi wa Zanzibar kumtangulia Waziri mkuu kwa kuwa. Waziri mkuu ni wa Tanzania bara (Tanganyika) zaidi kuliko kwenye muungano. Hivyo kimadaraka yupo chini ya raisi wa Zanzibar
Kwa walioangalia protokali jana wakati wa siku kuu ya Uhuru waliona kuwa baada ya Rais na Makamu wake aliyefuatia kuingia au kutoka alikuwa ni Rais wa Zanzibar; ambaye naye alifuatiwa na Waziri Mkuu na nyuma yake walifuatia Makamu wawili wa Zanzibar. Lakini kilichonitatiza ni hicho cha Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu wa Muungano.
Kwanza kwa sababu wakija kwenye Baraza la Mawaziri RAis wa Zanzibar ni mjumbe na hana uwezo wa kukiendesha wakati kama Rais au Makamu hayupo Waziri Mkuu ndio anaweza kusimamia kikao cha baraza hilo.
Kama hili ni kweli kwanini Waziri Mkuu wa Muungano aje nyuma ya Rais wa Zanzibar? Proper Protocal ilitakiwa iwe:
Unaanza na viongozi wakuu wa Muungano
Rais
Makamu
Waziri Mkuu
Jaji Mkuu
Spika
Viongozi wa Zanzibar
Rais wa Zanzibar
Makamu wa kwanza
Makamu wa pili
Jaji Mkuu
Spika
Shilingi zangu mbili hizo au nakosea wapi?
Zanzibar ni nchi......sasa kwa nini tuumize vichwa kwa kuangalia nani mkubwa kati ya rais wa nchi kamili na waziri mkuu wa nchi ambayo ina rais pia?...............zanzibar kwa mujibu wa katiba yao ya sasa na ambayo viongozi wetu wa wadhaifu wa muungano wamekaa kimya si sehemu tena ya muungano bali nchi kamili...........
Kwa walioangalia protokali jana wakati wa siku kuu ya Uhuru waliona kuwa baada ya Rais na Makamu wake aliyefuatia kuingia au kutoka alikuwa ni Rais wa Zanzibar; ambaye naye alifuatiwa na Waziri Mkuu na nyuma yake walifuatia Makamu wawili wa Zanzibar. Lakini kilichonitatiza ni hicho cha Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu wa Muungano.
Kwanza kwa sababu wakija kwenye Baraza la Mawaziri RAis wa Zanzibar ni mjumbe na hana uwezo wa kukiendesha wakati kama Rais au Makamu hayupo Waziri Mkuu ndio anaweza kusimamia kikao cha baraza hilo.
Kama hili ni kweli kwanini Waziri Mkuu wa Muungano aje nyuma ya Rais wa Zanzibar? Proper Protocal ilitakiwa iwe:
Unaanza na viongozi wakuu wa Muungano
Rais
Makamu
Waziri Mkuu
Jaji Mkuu
Spika
Viongozi wa Zanzibar
Rais wa Zanzibar
Makamu wa kwanza
Makamu wa pili
Jaji Mkuu
Spika
Shilingi zangu mbili hizo au nakosea wapi?
Kwa walioangalia protokali jana wakati wa siku kuu ya Uhuru waliona kuwa baada ya Rais na Makamu wake aliyefuatia kuingia au kutoka alikuwa ni Rais wa Zanzibar; ambaye naye alifuatiwa na Waziri Mkuu na nyuma yake walifuatia Makamu wawili wa Zanzibar. Lakini kilichonitatiza ni hicho cha Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu wa Muungano.
Kwanza kwa sababu wakija kwenye Baraza la Mawaziri RAis wa Zanzibar ni mjumbe na hana uwezo wa kukiendesha wakati kama Rais au Makamu hayupo Waziri Mkuu ndio anaweza kusimamia kikao cha baraza hilo.
Kama hili ni kweli kwanini Waziri Mkuu wa Muungano aje nyuma ya Rais wa Zanzibar? Proper Protocal ilitakiwa iwe:
Unaanza na viongozi wakuu wa Muungano
Rais
Makamu
Waziri Mkuu
Jaji Mkuu
Spika
Viongozi wa Zanzibar
Rais wa Zanzibar
Makamu wa kwanza
Makamu wa pili
Jaji Mkuu
Spika
Shilingi zangu mbili hizo au nakosea wapi?
Malalamiko kutoka kwa nani, Wazanzibari?..Zenj ni nchi ndogo sana kuungana na linchi likubwa kama Tanganyika. kila siku kutakuwa na malalamiko kutokana na ukweli huo.
Zanzibar ni nchi ndani ya nchi ya Tanzania tu; nje ya Tanzania Zanzibar si nchi! - JK
Kila siku kuna kitu nasemaga ila siyo kwa ubaya au kumvunjia mtu yoyote heshima. Nafasi ya raisi wa Zanzibar na viongozi wengine wa Zanzibar ni ceremonial in the grand scheme of things. Kiongozi mkuu wa Zanzibar kapewa jina la raisi kama heshima ili kuto kuwaudhi Wazanzibar ila kimadaraka ni kweli raisi wa Zanzibar ni sawa na waziri wa muungano. Mfano ndiyo kama huo ulio tolewa juu na mtu kwamba raisi wa Zanzibar ana hudhuria vikao vya baraza la mawaziri ila akiwa humo ndani hana nguvu yoyote.
Haya ni maoni ila mimi naona kama wenzetu wa Zanzibar wame pigwa tu changa la macho. Kitendo cha kiongozi wao kuitwa raisi kumewafanya wadhani kana kwamba kweli ana madaraka. Na ndiyo maana hata kwenye sherehe za muungano kama hivyo ceremonially kaingia kabla ya waziri mkuu yote katika kuwa danganya Wazanzibar kuwa cheo hicho kina beba nguvu.
Nguvu ya raisi wa Zanzibar ndani ya muungano ili pungua kwa kiasi kikubwa pale raisi wa Zanzibar alipo ondolewa cheo cha umakamu wa raisi wa muungano. Naomba Wazanzibar wajiulize swali moja ili kutathmini kiukweli nguvu za raisi wao. Mtu ana weza akawa raisi wa Zanzibar kisha akaenda kuwa raisi wa Tanzania kama mwinyi alivyo fanya. Je mtu akisha kuwa raisi wa Tanzania kwanza ana weza aka kubali kwenda kuwa raisi wa Zanzibar?
Anyway haya ni maoni yangu tu ila kama nilivyo sema mimi naona nafasi ya raisi wa Zanzibar ni very ceremonial ila watu hawajui tu. Zanzibar ina autonomy ndogo sana vingine vyote vilivyo baki ni gelesha tu kuwafanya watu waamini vinginevyo. Ni sawa sawa tu na makamu wa raisi wa muungano ambae hana shughuli maalumu kiofisi bali hufanya chochote ambacho raisi wa nchi yupo tayari kumuachia.