Waziri Mkuu wa JMT na Rais wa Zanzibar nani yuko juu na kwanini?

Mi naona ni sawa kabisa Raisi wa Zanzibar kumtangulia Waziri mkuu kwa kuwa. Waziri mkuu ni wa Tanzania bara (Tanganyika) zaidi kuliko kwenye muungano. Hivyo kimadaraka yupo chini ya raisi wa Zanzibar
Mark you hapa tulikuwa tunasheherekea sikukuu ya bara (Tanganyika) wala sio ya muungano! fikiri kidogo tu!
 
QUOTE=KIDUNDULIMA;Waziri mkuu ni wa Tanzania bara (Tanganyika) zaidi kuliko kwenye muungano. Hivyo kimadaraka yupo chini ya raisi wa Zanzibar

Na rais wa Zanzibar ni wa kivisiwani zaidi kuliko kwenye muungano. Mkubwa tatizo lipo kwny KATIBA. Haya mengine ni viungo tu. Mboga yenyewe ni KATIBA MUPYA.
 
Mi naona ni sawa kabisa Raisi wa Zanzibar kumtangulia Waziri mkuu kwa kuwa. Waziri mkuu ni wa Tanzania bara (Tanganyika) zaidi kuliko kwenye muungano. Hivyo kimadaraka yupo chini ya raisi wa Zanzibar
Mark you hapa tulikuwa tunasheherekea sikukuu ya bara (Tanganyika) wala sio ya muungano! fikiri kidogo tu!
 
Iko namna huyu 'Protokali bongo haipo kwani viongozi wenyewe ni vilaza hawaelewi wala hawasomi katiba' wanajifanyia tu mambo kama wamelala usingizi. Hiyo katiba ambayo ni mbovu wanafuata baadhi ya vipengere (pale wanapojua watamuumiza mtu) lakini baadhi ya vipengere havifuatwi kabisa. Where the hell is this makamu wa kwanza wa pili wa tatu wa nne nk. come from?
 
Kwa walioangalia protokali jana wakati wa siku kuu ya Uhuru waliona kuwa baada ya Rais na Makamu wake aliyefuatia kuingia au kutoka alikuwa ni Rais wa Zanzibar; ambaye naye alifuatiwa na Waziri Mkuu na nyuma yake walifuatia Makamu wawili wa Zanzibar. Lakini kilichonitatiza ni hicho cha Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu wa Muungano.

Kwanza kwa sababu wakija kwenye Baraza la Mawaziri RAis wa Zanzibar ni mjumbe na hana uwezo wa kukiendesha wakati kama Rais au Makamu hayupo Waziri Mkuu ndio anaweza kusimamia kikao cha baraza hilo.

Kama hili ni kweli kwanini Waziri Mkuu wa Muungano aje nyuma ya Rais wa Zanzibar? Proper Protocal ilitakiwa iwe:

Unaanza na viongozi wakuu wa Muungano
Rais
Makamu
Waziri Mkuu
Jaji Mkuu
Spika

Viongozi wa Zanzibar
Rais wa Zanzibar
Makamu wa kwanza
Makamu wa pili
Jaji Mkuu
Spika

Shilingi zangu mbili hizo au nakosea wapi?

Hiyo uisemayo labd ani protokali ya kijijini kwenu.
Rais wa Tanzania
Rais wa Zanzibar

Kumbuka Tanzania haiwezi kuwa Tanzania bila kuwa na TANganyika na ZANzibar, ka ia kamwisho yule muhindi wa Tanga (aliyevumbuwa hilo jina) alisema ni ka kukamilisha nahau.
 
..ndiyo maana wengine tunalilia muungano uvunjwe na badala yake tushirikiane kupitia EAC.

..hao kina Shein na Maalim Seif wanaweza kututembelea kama wanavyofanya Kibaki,Raila,na Kalonzo.

..Zenj ni nchi ndogo sana kuungana na linchi likubwa kama Tanganyika. kila siku kutakuwa na malalamiko kutokana na ukweli huo.
 
Hivi kumbe tuna utitiri wa viongozi wengi namna hiyo? heri yangu sikujua kabla!!
 
Tungekuwa na serikali yetu ya Tanganyika haya yote yasingejitokeza. Sijui mimi mwananchi wa kawaida kabisa huku Kamachumu ninafaidika namna gani na huu Muungano
 
Zanzibar ni nchi......sasa kwa nini tuumize vichwa kwa kuangalia nani mkubwa kati ya rais wa nchi kamili na waziri mkuu wa nchi ambayo ina rais pia?...............zanzibar kwa mujibu wa katiba yao ya sasa na ambayo viongozi wetu wa wadhaifu wa muungano wamekaa kimya si sehemu tena ya muungano bali nchi kamili...........

Zanzibar ni nchi ndani ya nchi ya Tanzania tu; nje ya Tanzania Zanzibar si nchi! - JK
 
MKJJ: kati ya Jaji Mkuu na Speaker, nadhani anaanza Speaker ndiyo anafuata Jaji Mkuu.
 
Kila siku kuna kitu nasemaga ila siyo kwa ubaya au kumvunjia mtu yoyote heshima. Nafasi ya raisi wa Zanzibar na viongozi wengine wa Zanzibar ni ceremonial in the grand scheme of things. Kiongozi mkuu wa Zanzibar kapewa jina la raisi kama heshima ili kuto kuwaudhi Wazanzibar ila kimadaraka ni kweli raisi wa Zanzibar ni sawa na waziri wa muungano. Mfano ndiyo kama huo ulio tolewa juu na mtu kwamba raisi wa Zanzibar ana hudhuria vikao vya baraza la mawaziri ila akiwa humo ndani hana nguvu yoyote.

Haya ni maoni ila mimi naona kama wenzetu wa Zanzibar wame pigwa tu changa la macho. Kitendo cha kiongozi wao kuitwa raisi kumewafanya wadhani kana kwamba kweli ana madaraka. Na ndiyo maana hata kwenye sherehe za muungano kama hivyo ceremonially kaingia kabla ya waziri mkuu yote katika kuwa danganya Wazanzibar kuwa cheo hicho kina beba nguvu.

Nguvu ya raisi wa Zanzibar ndani ya muungano ili pungua kwa kiasi kikubwa pale raisi wa Zanzibar alipo ondolewa cheo cha umakamu wa raisi wa muungano. Naomba Wazanzibar wajiulize swali moja ili kutathmini kiukweli nguvu za raisi wao. Mtu ana weza akawa raisi wa Zanzibar kisha akaenda kuwa raisi wa Tanzania kama mwinyi alivyo fanya. Je mtu akisha kuwa raisi wa Tanzania kwanza ana weza aka kubali kwenda kuwa raisi wa Zanzibar?

Anyway haya ni maoni yangu tu ila kama nilivyo sema mimi naona nafasi ya raisi wa Zanzibar ni very ceremonial ila watu hawajui tu. Zanzibar ina autonomy ndogo sana vingine vyote vilivyo baki ni gelesha tu kuwafanya watu waamini vinginevyo. Ni sawa sawa tu na makamu wa raisi wa muungano ambae hana shughuli maalumu kiofisi bali hufanya chochote ambacho raisi wa nchi yupo tayari kumuachia.
 
Kwa walioangalia protokali jana wakati wa siku kuu ya Uhuru waliona kuwa baada ya Rais na Makamu wake aliyefuatia kuingia au kutoka alikuwa ni Rais wa Zanzibar; ambaye naye alifuatiwa na Waziri Mkuu na nyuma yake walifuatia Makamu wawili wa Zanzibar. Lakini kilichonitatiza ni hicho cha Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu wa Muungano.

Kwanza kwa sababu wakija kwenye Baraza la Mawaziri RAis wa Zanzibar ni mjumbe na hana uwezo wa kukiendesha wakati kama Rais au Makamu hayupo Waziri Mkuu ndio anaweza kusimamia kikao cha baraza hilo.

Kama hili ni kweli kwanini Waziri Mkuu wa Muungano aje nyuma ya Rais wa Zanzibar? Proper Protocal ilitakiwa iwe:

Unaanza na viongozi wakuu wa Muungano
Rais
Makamu
Waziri Mkuu
Jaji Mkuu
Spika

Viongozi wa Zanzibar
Rais wa Zanzibar
Makamu wa kwanza
Makamu wa pili
Jaji Mkuu
Spika

Shilingi zangu mbili hizo au nakosea wapi?

Walichanganya habari. Rais wa zanzibar ni kwa zanzibar, akiwa tanzania anakuwa kama mbunge yeyote wa tanzania.
 
Kwa walioangalia protokali jana wakati wa siku kuu ya Uhuru waliona kuwa baada ya Rais na Makamu wake aliyefuatia kuingia au kutoka alikuwa ni Rais wa Zanzibar; ambaye naye alifuatiwa na Waziri Mkuu na nyuma yake walifuatia Makamu wawili wa Zanzibar. Lakini kilichonitatiza ni hicho cha Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu wa Muungano.

Kwanza kwa sababu wakija kwenye Baraza la Mawaziri RAis wa Zanzibar ni mjumbe na hana uwezo wa kukiendesha wakati kama Rais au Makamu hayupo Waziri Mkuu ndio anaweza kusimamia kikao cha baraza hilo.

Kama hili ni kweli kwanini Waziri Mkuu wa Muungano aje nyuma ya Rais wa Zanzibar? Proper Protocal ilitakiwa iwe:

Unaanza na viongozi wakuu wa Muungano
Rais
Makamu
Waziri Mkuu
Jaji Mkuu
Spika

Viongozi wa Zanzibar
Rais wa Zanzibar
Makamu wa kwanza
Makamu wa pili
Jaji Mkuu
Spika

Shilingi zangu mbili hizo au nakosea wapi?

You are very right, kuna walakini hapa!!! inaonekana Muungano upo kwa jina tu lakini haupewi umuhimu. Hilo linaweza kutupa jibu.
 
..Zenj ni nchi ndogo sana kuungana na linchi likubwa kama Tanganyika. kila siku kutakuwa na malalamiko kutokana na ukweli huo.
Malalamiko kutoka kwa nani, Wazanzibari?

Wanaolalamika siku zote huwa ni Wanzanzibari, inasikitisha sana hili swala sisi Bara hatulioni. Ni moja ya urithi mbaya, wa gharama mno, aliotuachia "Baba wa Taifa."
 
sidhani kama tatizo ni ukubwa au udogo wa nchi; US ni muungano vya states nyingi ndogo ndogo na kubwa; CA peke yake ni kubwa kama Tanzania nzima; wakati Maine au Rhode Island ni vijimbo vidogo. Lakini wametengeneza mfumo mzuri wa kulinda haki za hizi zote. Tatizo la TAnzania ni ukosefu wa ubunifu wa mfumo mzuri wa mahusiano. Hata wanaosema serikali "tatu" hawajui kwa uhakika wanajaribu kutatua tatizo lipi hasa.
 
Zanzibar ni nchi ndani ya nchi ya Tanzania tu; nje ya Tanzania Zanzibar si nchi! - JK

Mzee mwanakijiji,

Jee huoni umuhimu wa kuirejesha Tanganyika kama nchi ndani ya Tanzania?

Haya matatizo(kero) za muungano zitakwisha vipi? Any idea?
Kwenye, post nyengine umetoa mfano wa states huko US,kubwa na ndogo na haki zao zinalindwa, sasa states za Tanzania ziwe zipi?
Sio state of Tanganyika and state of Zanzibar? and then federal Gvt, Tanzania?

Tupate serikali ya Tanganyika(state gvt), serikali ya zanzibar (state gvt) na Serikali ya Tanzania (United Gvt/federal gvt)

Hii at least itapunguza huu mkorogo uliopo. Serikali ya Muungano haiwezi kuwa federal gvt and at the same time kuwa Tanganyika gvt. Mkorogo upo hapo.
 
QUOTE=Dar Es Salaam;

Kumbuka Tanzania haiwezi kuwa Tanzania bila kuwa na TANganyika na ZANzibar.

Tanganyika iko wapi?
 
Kila siku kuna kitu nasemaga ila siyo kwa ubaya au kumvunjia mtu yoyote heshima. Nafasi ya raisi wa Zanzibar na viongozi wengine wa Zanzibar ni ceremonial in the grand scheme of things. Kiongozi mkuu wa Zanzibar kapewa jina la raisi kama heshima ili kuto kuwaudhi Wazanzibar ila kimadaraka ni kweli raisi wa Zanzibar ni sawa na waziri wa muungano. Mfano ndiyo kama huo ulio tolewa juu na mtu kwamba raisi wa Zanzibar ana hudhuria vikao vya baraza la mawaziri ila akiwa humo ndani hana nguvu yoyote.

Haya ni maoni ila mimi naona kama wenzetu wa Zanzibar wame pigwa tu changa la macho. Kitendo cha kiongozi wao kuitwa raisi kumewafanya wadhani kana kwamba kweli ana madaraka. Na ndiyo maana hata kwenye sherehe za muungano kama hivyo ceremonially kaingia kabla ya waziri mkuu yote katika kuwa danganya Wazanzibar kuwa cheo hicho kina beba nguvu.

Nguvu ya raisi wa Zanzibar ndani ya muungano ili pungua kwa kiasi kikubwa pale raisi wa Zanzibar alipo ondolewa cheo cha umakamu wa raisi wa muungano. Naomba Wazanzibar wajiulize swali moja ili kutathmini kiukweli nguvu za raisi wao. Mtu ana weza akawa raisi wa Zanzibar kisha akaenda kuwa raisi wa Tanzania kama mwinyi alivyo fanya. Je mtu akisha kuwa raisi wa Tanzania kwanza ana weza aka kubali kwenda kuwa raisi wa Zanzibar?

Anyway haya ni maoni yangu tu ila kama nilivyo sema mimi naona nafasi ya raisi wa Zanzibar ni very ceremonial ila watu hawajui tu. Zanzibar ina autonomy ndogo sana vingine vyote vilivyo baki ni gelesha tu kuwafanya watu waamini vinginevyo. Ni sawa sawa tu na makamu wa raisi wa muungano ambae hana shughuli maalumu kiofisi bali hufanya chochote ambacho raisi wa nchi yupo tayari kumuachia.

Kwanza Mkuu ,
Unayakubali kuwa yale mabadiliko yalikuwa sahihi, ya haki? Ya kumuondoa rais wa Zanzibar kuwa makamu wa rais wa Tanzania. Yale mabadiliko yalivunja "muungano" sasa yaliyofuata ni funika kombe tu.

Lakini unayoyasema katika post hii ni kweli, nguvu za rais wa Zanzibar zimepunguzwa. lakini la ku-note hapa ni kuwa yale mabadiliko yalipitishwa kibabe. Wazanzibar hawakuyaridhia, Yakiwa na azma ya kutoka serikali mbili kwenda moja.
Ukipata wakati ipitie mada yangu ya "Katiba mpya na Pandora's box ya muungano."

Halafu tubadilishane mawazo.

Back
Top Bottom