Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Atembelea Mradi wa Reli ya Kisasa - SGR

Tanzania Railways Corp

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
251
595
6c459719-bbe3-46ed-8a98-c6fbd6545724.jpg
 
Nasikia mwaka jana Nov mlikamilisha kipande cha Dar~moro
Mwaka huu jitahidini mkamilishe kipande cha Moro to makutupora

ccm namba moja.
 
Hongereni..........wizara nyingine zihamasishe uzalishaji treni isikose mizigo
 
PM ni presidential material, na ndiye tu hasa pengine angepaswa mwaka huu wa uchaguzi kukabiliana kihoja na kuaminika mbele ya umma wa Watanzania dhidi ya Membe na Lissu. Mzee Baba analo lake mwaka huu, labda mgombea mwenza, Mama Samia anaweza kuweka mambo sawa na hata kuwalainisha wapiga kura.
 
Acheni mbwembwe nyie masela
Kila siku anatembelea tu na mradi hamkamilishi

Na tunasikia mara kwa mara watu wamegoma mara hamuwalipi

Kama mmechoka sepeni tujenge sisi wenyew wajumbe dadeki
Kuna Mambo Mengi Sana Yanaukakasi
🤨😑😶😐🤔😏
 
Huo mradi hao wafanyakazi sijui wanafanya kazi za ngapi?
Kila siku kutemebelewa leo makonda kesho pm keahokutwa bongo movii hujakaaa sawa wasafi hao.
Tz ufanyaji kazi ni kama hivi;
vikao asubuhi mpaka usiku, kila siku ikiwamo mwisho wa wiki.
Kuzungurukia miradi, uzinduzi kila siku.
Kuteua, kutengua nafasi mbali mbali miaka mitano mfululizo.
 
Back
Top Bottom