The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,137
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Waziri Mkuu wa Italy amejiuzulu nafasi yake kutokana na Maandamano ya wiki zima Kuhusu ugumu wa maisha..
Mario Draghi amewasilisha hati yake kwa Rais Ili Mchakato wa kumpata PM mwingine uendelee..
Huyu ni Waziri Mkuu wa pili kuachia ngazi huko Barani Ulaya baada ya Boris Johnson wa England..
****
Wako wapi wale CHADEMA na Sukuma gang kuja kuanzisha nyuzi za kutishia viongozi wetu kwamba wanaongoza vibaya hivyo maisha magumu wakitolea mfano wa Sri Lanka kwamba watawatimua viongozi Ikulu?
Vipi na huko Ulaya kwenye maisha mazuri mbona Nako Hali si Hali? Au huko hakuna Katiba mpya ya kuleta maisha Bora?👇