Waziri Mkuu wa Italy ajiuzulu kufuatia maandamano. Mbona hatuoni nyuzi zikianzishwa na CHADEMA kutolea mfano Viongozi wetu kama kule Sri Lanka?

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,589
14,136
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Waziri Mkuu wa Italy amejiuzulu nafasi yake kutokana na Maandamano ya wiki zima Kuhusu ugumu wa maisha..

Mario Draghi amewasilisha hati yake kwa Rais Ili Mchakato wa kumpata PM mwingine uendelee..

Huyu ni Waziri Mkuu wa pili kuachia ngazi huko Barani Ulaya baada ya Boris Johnson wa England..
****

Wako wapi wale CHADEMA na Sukuma gang kuja kuanzisha nyuzi za kutishia viongozi wetu kwamba wanaongoza vibaya hivyo maisha magumu wakitolea mfano wa Sri Lanka kwamba watawatimua viongozi Ikulu?

Vipi na huko Ulaya kwenye maisha mazuri mbona Nako Hali si Hali? Au huko hakuna Katiba mpya ya kuleta maisha Bora?👇

Screenshot.jpg
 
Wanahangaika na Simba na Yanga na Ndondo cup tu !! Inatosha !!! Je unajua ni kwanini wanakuwa hivyo ?? Wameshagundua Mara nyingi wao huwa wanatumiwa kama daraja la wanasiasa kupanda huko juu na wakishafika huko juu wanaanza kwanza kufikiria matumbo yao !! Ndio maana wameona ni bora kila MTU apambane na hali yake !! Hata Kigwangala anajua hili la matumbo kwanza !!
 
Kwahiyo unataka waanzishe nyuzi ili uwe na cha kujibu??

Aisee maisha ni magumu sana ila wanahofia kuvunjwa viuno.

Juzi tu hapo Aiijiipee kasema viongozi waachwe waishi vizuri.
 
Braza kiingereza ni kigumu mno kwako eh? Hayo maandamano uliyaongoza wewe? Draghi amejiuzulu maana serikali ya umoja wa kitaifa aliyokua anaiongoza ilimeguka kwa kundi moja kujitoa. Pia bado alikua na uwezo wa kuendesha nchi ila bado alitaka umoja baina ya League, M5S,PD na Di Maio na wenzake. Braza tafuta maana ya neno Turmoil halafu urudi hapa.
 
Duh ! Yaani viuno kushney ?! Deliberately ?! Ipo kazi bandugu !!!
 
Braza kiingereza ni kigumu mno kwako eh? Hayo maandamano uliyaongoza wewe? Draghi amejiuzulu maana serikali ya umoja wa kitaifa aliyokua anaiongoza ilimeguka kwa kundi moja kujitoa. Pia bado alikua na uwezo wa kuendesha nchi ila bado alitaka umoja baina ya League, M5S,PD na Di Maio na wenzake. Braza tafuta maana ya neno Turmoil halafu urudi hapa.
Wewe jua tuu kwamba sababu ni zile zile za Sri Lanka,sasa mbona hatuoni Italy ikitolewa kama mfano Kwa Tzn kama ilivyokuwa Kwa Sri Lanka.
 
Wanahangaika na Simba na Yanga na Ndondo cup tu !! Inatosha !!! Je unajua ni kwanini wanakuwa hivyo ?? Wameshagundua Mara nyingi wao huwa wanatumiwa kama daraja la wanasiasa kupanda huko juu na wakishafika huko juu wanaanza kwanza kufikiria matumbo yao !! Ndio maana wameona ni bora kila MTU apambane na hali yake !! Hata Kigwangala anajua hili la matumbo kwanza !!
Sababu hatujawahi onja mana hali ya "maisha bora" kwenye maisha yetu ya kila siku kwenye jamii. Italian wanajua maana ya maisha bora, so ukiwachezea hawana huruma na wewe.
 
Wanahangaika na Simba na Yanga na Ndondo cup tu !! Inatosha !!! Je unajua ni kwanini wanakuwa hivyo ?? Wameshagundua Mara nyingi wao huwa wanatumiwa kama daraja la wanasiasa kupanda huko juu na wakishafika huko juu wanaanza kwanza kufikiria matumbo yao !! Ndio maana wameona ni bora kila MTU apambane na hali yake !! Hata Kigwangala anajua hili la matumbo kwanza !!
Kuanzia saa mbili asubuhi ni vipindi vya michezo tuuu.wanamjadili manara
 
Kama watu wenu wenyewe robo tatu wako kama Hawa wanaolaumu tuu humu jf sasa ulitegemea wajadili.nini ikiwa akili hawana?

Mtu anasema ooh Bei za vitu zimeongezeka,sawa je bidhaa hazinunuliwi? Kama zinanunuliwa sasa pesa inaenda kwa nani?
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Waziri Mkuu wa Italy amejiuzulu nafasi yake kutokana na Maandamano ya wiki zima Kuhusu ugumu wa maisha..

Mario Draghi amewasilisha hati yake kwa Rais Ili Mchakato wa kumpata PM mwingine uendelee..

Huyu ni Waziri Mkuu wa pili kuachia ngazi huko Barani Ulaya baada ya Boris Johnson wa England..
****

Wako wapi wale CHADEMA na Sukuma gang kuja kuanzisha nyuzi za kutishia viongozi wetu kwamba wanaongoza vibaya hivyo maisha magumu wakitolea mfano wa Sri Lanka kwamba watawatimua viongozi Ikulu?

Vipi na huko Ulaya kwenye maisha mazuri mbona Nako Hali si Hali? Au huko hakuna Katiba mpya ya kuleta maisha Bora?

View attachment 2299601
Hivi kumbe Turmoil kwa Kiitaliano inamaanisha maandamano?
 
Kama watu wenu wenyewe robo tatu wako kama Hawa wanaolaumu tuu humu jf sasa ulitegemea wajadili.nini ikiwa akili hawana?

Mtu anasema ooh Bei za vitu zimeongezeka,sawa je bidhaa hazinunuliwi? Kama zinanunuliwa sasa pesa inaenda kwa nani?
Wengine wanagoma. Hawa wanalamika tuuu.
Mshahara ni hisani???
 
Back
Top Bottom