mcomunisti halisi
Senior Member
- Jan 17, 2017
- 103
- 328
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyau ameyakaribisha kwa mikono 2 vikwazo alizowekewa Iran na Rais wa US Donald Trump huku akizitaka nchi zingine ziige mfano wa US kwa kuwawekea vikwazo Iran.
''Iran wanataka kuitawala Mashariki ya kati na inabidi azuiliwe-''Netanyau akizungumza london katika mkutano na waziri mkuu wa Uingereza
''Iran wanatishia usalama wa Mashariki ya kati,usalama wa ulaya,wanatishia magharibi na usalama wa dunia na wanaendelea kufanya uchochezi juu ya uchochezi
''Ndio maana nayakaribisha msisitizo wa Trump juu ya kuwawekea vikwazo Iran na nafikiri mataifa mengine inabidi waige mfano waweke vikwazo kwa Iran''-Netanyau