Waziri Mkuu wa India amshukuru Rais Magufuli kuwalinda Wahindi dhidi ya Corona

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,663
Kupitia account yake ya Twitter Bw.Narendra Modi amemshukuru na mumpongeza Rais Magufuli kuwalinda jamii ya wahindi waishio hapa nchini dhidi ya corona

Pia amempongeza na kumshukuru rais wetu kwa kuendeleza ushirikiano mwema na India

Mpaka sasa hakuna mhindi hata mmoja aliyekufa kwa corona nchini licha ya wahindi wengi kupoteza maisha nchini mwao hii inamaana Tanzania imeonesha uimara wa hali ya juu dhidi ya adui corona

IMG-20200613-WA0023.jpg
 
View attachment 1477328
Hii itawaudhi sana wazee wa lockdown au kwa jina jipya wazee wa kuteguka
IMG-20200610-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom