Waziri mkuu wa Hispania aitisha uchaguzi wa haraka

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,492
9,266
Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez ametangaza uchaguzi Mkuu wa mapema utakaofanyika Aprili 28, 2019 badala ya Juni mwaka 2020

Taarifa hiyo imetangazwa baada ya Serikali ya kisoshalisti inayoongozwa na Sanchez kushindwa katika kura ya bajeti iliyopigwa Bungeni

Sanchez aliipoteza kura hiyo baada ya wabunge kutoka katika jimbo la Catalonia linalotaka kujitenga, kuungana na wenzao wa upinzani kukataa bajeti ya matumizi ya Serikali kwa mwaka 2019

Katika tangazo lake la kuitisha uchaguzi mpya, Sanchez amesema hawana hata dakika moja ya kupoteza

Amesema badala ya kuendelea tu na shughuli bila bajeti ya kufanyia kazi, ni bora kuwapa nafasi Wahispania kutoa kauli yao.

......................

Spanish Prime Minister Pedro Sánchez on Friday announced a snap general election for April 28. It will be the third general election In Spain in four years. Spaniards were not due to be called to the polls again until 2020.

The decision rules out the possibility of a so-called “Super Sunday” on May 26, the day that local, regional and European elections will take place.

Sánchez listed his government’s achievements, including job creation and environmental and social initiatives

In a speech that began at 10am following a Cabinet meeting, the Socialist Party (PSOE) leader listed his government’s achievements in these last eight-and-a-half months, including job creation and initiatives on environmental and social issues. He also warned against making choices that could lead to greater confrontation in an increasingly polarized country.

“Spain does not deserve to get stuck because of partisan interests,” said Sánchez. “Spain belongs to its citizens. It is they who must decide whether to take a step backward. We defend a country where there is room for everyone.”

Budget defeat
The decision to call a snap national election was made after deputies in Congress on Wednesday rejected the government’s spending plan for 2019.

Sánchez had warned that failure to secure passage for the budget could lead to early elections. During two days of congressional debate on Monday and Tuesday, the government made one last attempt to convince other parties to back its plan, but met with opposition from Catalan separatist parties, from the conservative Popular Party (PP) and from center-right Ciudadanos (Citizens).

“This budget was good for Spaniards, and for each and everyone of the territories in our country,” Sánchez said on Friday, in a veiled reference to the increase in funds that had been earmarked for Catalonia.

“We had to present our budget and we did so; unfortunately it did not prosper, but let me say one thing: there are parliamentary defeats that are social victories. Citizens have seen what this government wanted for this country.”

The debate was further complicated by the fact that a highly anticipated trial of Catalan separatist leaders opened at the Supreme Court on Tuesday. The pro-independence movement, which has cast the proceedings as a political trial, had demanded concessions in favor of the 12 defendants in exchange for support on the budget issue.

Minority government
The new general election will take place against the backdrop of increased political fragmentation. Recent opinion polls suggest the PSOE could win the most votes, but not enough for a majority. And its traditional rival, the PP, could lose voters to an emerging force, the far-right Vox – which for the first time secured parliamentary representation at the recent regional elections in Andalusia, partly on a message of defending Spanish unity against Catalan separatism. The anti-austerity group Podemos and liberal Ciudadanos have also become key players in Spanish politics after the economic crisis ended the country’s two-party dominance.

El Pais
 
WAZIRI MKUU WA UHISPANIA ATANGAZA UCHAGUZI WA HARAKA
Pedro Sanchez ametangaza uchaguzi Mkuu utakaofanyika Aprili 28, 2019
badala ya Juni, 2020 kama ilivyotarajiwa Ni baada ya Serikali yake kushindwa ktk kura ya bajeti Bungeni.
ni kama vile vile walivyokua wanabipu wabunge wa upinzani wakaambiwa Rais atavunja Bunge mrudi kwenye uchaguzi wakaanza kusema oooho sijui biti, mara sijui nini walijua wengi wao hawato rudi bungeni. ona sasa wenzenu wamemwaga mboga
 
Acha uongo wabunge wa upinzani wapo % ngapi ya wabunge wote hadi bajeti isipite? Si useme alikuwa anawaonya wale wa CCM wasipingane na boss wao Lusinde
WAZIRI MKUU WA UHISPANIA ATANGAZA UCHAGUZI WA HARAKA
Pedro Sanchez ametangaza uchaguzi Mkuu utakaofanyika Aprili 28, 2019
badala ya Juni, 2020 kama ilivyotarajiwa Ni baada ya Serikali yake kushindwa ktk kura ya bajeti Bungeni.
ni kama vile vile walivyokua wanabipu wabunge wa upinzani wakaambiwa Rais atavunja Bunge mrudi kwenye uchaguzi wakaanza kusema oooho sijui biti, mara sijui nini walijua wengi wao hawato rudi bungeni. ona sasa wenzenu wamemwaga mboga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ndio wabunge wenye akili na mashujaa wanasimamia issues za kitaifa sio matumbo yao. Wapo tayari bunge livunjwe na wapoteze ubunge Wao kwa maslahi mapana ya nchi na sio matumbo yao na ya familia zao.
 
wabunge wetu hawajiamini lakini ishu sio kukataa tuu bajeti swali hata ukikataa utapata zaidi ya hiyo bajeti uliyopewa maana tumezoea kutegemea fedha za wahisani ambao hawaleti kwa wakati
 
WAZIRI MKUU WA UHISPANIA ATANGAZA UCHAGUZI WA HARAKA
Pedro Sanchez ametangaza uchaguzi Mkuu utakaofanyika Aprili 28, 2019
badala ya Juni, 2020 kama ilivyotarajiwa Ni baada ya Serikali yake kushindwa ktk kura ya bajeti Bungeni.
ni kama vile vile walivyokua wanabipu wabunge wa upinzani wakaambiwa Rais atavunja Bunge mrudi kwenye uchaguzi wakaanza kusema oooho sijui biti, mara sijui nini walijua wengi wao hawato rudi bungeni. ona sasa wenzenu wamemwaga mboga
rais gani tz hii ataweza kulivunja bunge ili nchi irudi kwenye uchaguzi mkuu(akiwemo rais),wote wanaishia kuvunja baraza la mawaziri.
 
Back
Top Bottom