Waziri Mkuu wa China Ajilimbikizia Mali-Familia Yake ina Miliki $2.7 Billions! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Mkuu wa China Ajilimbikizia Mali-Familia Yake ina Miliki $2.7 Billions!

Discussion in 'International Forum' started by jmushi1, Oct 26, 2012.

 1. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,586
  Likes Received: 1,955
  Trophy Points: 280
  Baada tu ya habari hii kutoka kwenye New York Times,gazeti hilo limepigwa ban hadi mtandaoni ili wananchi wake wasione.
  Habari zaid fuata link...
  Chinese Premier Wen Jiabao's Family Has Controlled $2.7 Bln Of Assets, New York Times Says - Forbes
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,907
  Trophy Points: 280
  Atanyongwa huyo in future time
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  lakini naona kwenye TV wanaliongelea, japo nimekuta linaishia.

  Lazima litaibuka tu, ishafikia pabaya.

  Ila ndio ujue wezi wana nguvu jamani.
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Sasa watu wanavyosifia ohh china hamna ufisadi ,kumbe changa la macho 2, ufisad hauna mwafrika wala mchina,chezeya midolari !!
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ni kweli, kila mahali kuna ufisadi lakini huwezi linganisha na Afrika.

  Huku watu wanahamisha, sio kwamba wanaiba.
  Watu hata huduma ya maji tu hatuma, afu baadhi ya viongozi ma milionea.

   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Ndo tatizo la ujamaa au ukomunist huo, wale wachache wanaoaminiwa na jamii huwa na maelekeo ya kuwa na tamaa ya kujilimbikizia mali haki ya nani!!!!!
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  wachina watemi nilicheka nilivyoona nytimes wamepigwa ban he hehee....prime minister kua na assets worth $2.7billion sio mchezo na hizo ni zile accounted for bado zile za kuchakachua maana wachina ni ka wabongo tu...
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,795
  Trophy Points: 280
  Tatizo la ujamaa na issue kama hizo ndio zitakuwa chanzo cha kuzima ujamaa na uzuri wanaouhubiri.
   
 9. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hawa wanataka kuivuruga China especially kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa viongozi wapya....
   
 10. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Bunge la China, chini ya chama cha kikomonisti tayari kimeshamvua ubunge tycoon Mr. Boo, hii ikiwa ni maandalizi ya kuanza kushtakiwa...
   
 11. Tai Ngwilizi

  Tai Ngwilizi JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  afadhali wachina wanaiba ila na maendeleo yapo yanaoneka wazi, kuliko sisi wezi wetu huku wanakomba kila kitu mpaka maziwa ya mtoto
   
 12. Jangakuu

  Jangakuu JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  kaka si tu mamilione, they are billionea!!!!
   
 13. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hii inathubitisha kuwa Bila demokrasia ya kweli ni vigumu kudhibiti ufisadi wa wanasiasa!
   
 14. mbota

  mbota JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 744
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 60
  made in china ;;;;;;;;;;;;; hiyo feki tu hata kama orijinal to our percepption is feck, leo wakina .................. wapo china du na nchi ndio imeuzwa china tayari
   
 15. U

  UncleSam Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  don't you people know how to read between the lines?? report inasema "the family of the prime minister " not the prime minister himself.. poa ina endelea kusema relatives wa prime minister wame jump to benefit from the policy and regulatory decisions imposed by Wen. wametumia connections za Wen kupata deals na some rich families .. sio kama hapa kwetu public officer anaiba ili watoto waka flash mitaani na kuvuta bange
   
 16. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Ufisadi upo kama kawaida ila si kwa kukithiri kama ilivyo Afrika...
  Hivi wajua kuwa huku kwetu kuna wakati tunachagua viongozi kwa kuangalia baina ya walioiba sana au kidogo...
  Mathalani si ajabu kuwakuta watu wakijadili kuwa tumpe fulani kwa kuwa ameshaiba hadi amechoka hivyo tukimpa hataiba tena...
   
 17. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  mkuu sidhani kama litafika huko, hawa jamaa ni wanafki sana...nahisi cha maana watakachofanya ni kutaifisha mali kama ni kweli
   
 18. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka jamaa aliyepewa kandarasoi ya kujenga uwanja wa taifa alituaga anakwenda kunyongwa, huyu bila shaka atakua njiani
   
Loading...