zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 10,831
- 8,621
mikataba yenyewe imeandaliwa kwa lugha ngumu ya kisheria, sidhani hata kama alisoma ameelewa kitu............Saigon,
Viongozi wa nchi za wenzetu,huwa kwanza wanamsoma rais ama kiongozi wa nchi wanayetaka kudeal nayo,halafu wana act accordingly.I might be wrong,but sijawahi kuona kiongozi ie Obama akiwa amepandishwa hiyo mikokotoeni ya mafarasi ambayo hutumika na familia ya kifalme.
Halafu cha ajabu ni kwamba hata mwenyeji wake hakuwepo naye kwenye mkokoteni huo.Wanajuwa ni mpenda masifa na ukuu,issue kama zile za wiki leak ndizo haswa wako nazo kwenye makabrasha and therefore wana act accordingly,wanachotaka wao ni rasilimali zetu.Naona yeye kaanguka masaini tu,ila sidhani kama ameisoma vyema mikataba hiyo.Na sidhani hata kama alipata nafasi hiyo.