R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Waziri Mkuu & W/ Afya: Mh Nyarandu na Mb. Lema wachukuliwe hatua kutoa siri za wagojwa USA na Rambirambi
Natanguliza shutuma zangu za waziwazi , nimefuatilia suala la tetemeko KAGERA ; lilikuwa well coordinated; Lilikuwa kubwa sana uharibifu ulikuwa mkubwa lakini; wanasiasa walipewa onyo'
Msimamizi aliyeteuliwa alikuwa mkuu wa Mkoa Kagera ; ndo alipokea Rambirambi zote na ndo aliongoza utaratibu wa kuonana na waathirika na Kutoa taarifa za maendeleo ;
Nashangaa Msiba wa wanafunzi wa LUCK SCHOOL ; Serikali haijatoa muungozo nani wa kusimamia rambirambi
Je Mkuu wa Mkoa ; Meya ya Jiji au mtu yeyeto ?
Mheshimiwa Lema anafanya makususi na anandaa kutuma kina mama Vijana wa chadema na ukawa bila utaratibu ili kuvuruga utulivu na kutonyesha vidonda
Afya za watoto ;
Anachofanya Mh Nyarandu naunga mkono kutuma picha za watoto na kutoa Siri za ugonjwa ; Lakini kuna Daktari aliyeambatana nao ; ni naona apigwe stop kutoa taarifa za watoto; Wizara ya afya itoe Muongozo nani wa kutoa taarifa za maendeleo ya watoto.
BILA KUCHUKUA TAADHALI NAONA MOTO UNAFUKA
KAMA TETEMEKO KAGERA WALICONTROL ; ARUSHA INASHINDIKANA NINI?