Waziri Mkuu ulipokuja Kagera walikuambia kuhusu kahawa ya magendo ila walikuficha kuhusu mahindi ya magendo

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,478
2,301
Kuna mahindi yanavushwa kutoka uganda kuingia Tanzania kwa njia za kihuni hasa kupitia boda ya Bugango. Nasema kwa njia ya kihuni kwa kuwa najua hadi sasa hakuna import permit ya kuingiza mahindi ya nje nchini iliyotolewa na serikali na kama ipo wizara ya kilimo ituambie.

Mchezo unavyofanyika:
Wafanyabiashara wanashirikiana na watendaji wa kata wanavusha mahindi na watendaji hawa wa kata wanaandikia vibali kuonyesha kuwa mahindi yametoka katika vijiji vya Tanzania vilivyo mpakani mwa Tanzania na Uganda. Hapo wanavuta chao, na watumishi wengine wa serikali wanapewa chao wakiwemo polisi ili kuacha kuruhusu yaingie nchini.

Nachosikitika ni kuona mahindi ya nje yakiingia kwetu ilhali mahindi ya wakulima wetu yamekosa soko wakilazimika kuuza 3000 debe huko vijijini na sh. 270 kwa kilo katika soko la kibaigwa

Siwezi kuwa mbaya kwa kusema kweli
 
Unataka mtu atoke Rukunyu ,akafuate debe la Mahindi Madaba?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom