Waziri Mkuu tupeni marejesho kusimamisha ACC za TCAA mmekuta nini??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,583
TUFIKE WAKATI TUSISHANGILIE TU WATU WAMEFUKUZWA WATU WAMEPELEKWA MAHAKAMANI KWENDA MAHAKAMANI SIO KUFUNGWA TUHAKIKISHIENI HIZO KESI ZINAENDA N TIME WATU WANALAZWA SEGEREA

BACK TO MADA MH WAZIRI MKUU MLISIMAMISHA ACC ZAIDI YA NANE ZA TCC MBAYA KATI YAHIZO NNE ZILIKUWA ZIMEANDIKWA DIR OF TCAA

TUELEZENI MWISHO UMEFIKIA WAPI JE MSHAZIFUNGULIAA NA KWA BAHATI MBAYA WAHUSIKA MLIWASIMAMISHA KAZI SIJUII MPAKA SASA AWAJAFIKA MAHAKAMANI WANASUBIRI NINII??

TUPENI MAREJESHO KUTUMBUA JIPU UNAACHA USAA BILA KUTOA DAMU YANARUDI MAJIPU
 
Mwenye update ya kesi ya Masamaki mnajua kilichoendelea??lv u tz
 
Back
Top Bottom