Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
hao wapya wakigoma nao?
inatangazwa ajira nyingi. Game itakuwa hivyo hivyo
hao wapya wakigoma nao?
huyu ni ***** tu! hata kingereza chake ni broken, anatuletea sisi watu wazima hapa! (huwezi kusema intellectual yao ukitumia simple grammar, aende akarudie madaftari yake ya shule ya msingi kabla ya majigambo na kingereza chake cha ugoko!)
Do they have readily available doctors with nothing to do?Serikali imeagiza madaktari Cuba na Russia
Kuna habari kuwa serikali inatayarisha Tangazo la ajira kwa nafasi za Udaktari na udaktari bingwa haraka iwezekanavyo.
Je, hii inaweza kuwa long term solution ya matatizo ya mgomo wa madaktari.
Safiii,, hiyo ndiyo dawa,, Ndiyo dawa haswa ya paka mramba tui,, kama hataki panya na wali usimpe
una dr ambaye yuko loose mtaani?
Maana yake uwachukue walio ktk kazi zao then uwaajiri then kwa mshahara upi?
Hata kule Australia wanahitajika hebu bonyezeni hapa
Doctor's Employment - Employment For Doctors | Medical locum positions Australia
Sasa hivi wana nguvu kwa sababu wapo pamoja. When it comes ni kila mtu kufa mwenyewe, lazima waapply kazi.Pinda anacheza kiduku tu,sasa wakitangaza ajira,je wasipoapply je itakuwaje? Si mgomo ndio utazidi kua mkubwa? Pinda na jeikei fukuza tu hao kina mponda na nkya,hapo kishanuka no holdingback!!
mjinga mwingine huyu!
Serikali imeagiza madaktari Cuba na Russia
Kuna habari kuwa serikali inatayarisha Tangazo la ajira kwa nafasi za Udaktari na udaktari bingwa haraka iwezekanavyo.
Je, hii inaweza kuwa long term solution ya matatizo ya mgomo wa madaktari.
Yes, that is what our "leaders" are doing.hallucinations ni moja ya dalili mbaya ya ugonjwa wa akili