Waziri mkuu si yule

Jana nimemwona wakati rais akiongea na wakurugenzi wapya. Kanywea sana. Hata rais alipomtaja kuwa hakuwahi kuwa waziri kabla ya uwaziri mkuu nilimwona Waziri mkuu akiwa hana amani sana. Inaonekana keshaanza kuona picha kubwa
JPM anambana hataki majaliwa awe maarufu, anapenda sifa binafsi , kaamua kujikalia kimya hakuna trip za bandari tena
 
Pengine pale alikuwa na uchovu pengine hakulala usiku yupo macho hii nchi ukilala kidogo tu unawaachia mafisadi upenyo wa kuiba!! Kuogoza hii nchi siyo kazi rahisi
 
Pengine pale alikuwa na uchovu pengine hakulala usiku yupo macho hii nchi ukilala kidogo tu unawaachia mafisadi upenyo wa kuiba!! Kuogoza hii nchi siyo kazi rahisi
kama si kazi rahisi mbona watu wanatumia kila hila kupata uongozi kama rushwa? wizi wa kura? matumizi ya vyombo vya dola nk? kweli kuna ugumu kuongoza nchi?
 
hana mamlaka tena ya kuteua ndio maana kapoa sana...ngosha anakaba sana penati yan kila kitu yeye tu...
 
Jana nimemwona wakati rais akiongea na wakurugenzi wapya. Kanywea sana. Hata rais alipomtaja kuwa hakuwahi kuwa waziri kabla ya uwaziri mkuu nilimwona Waziri mkuu akiwa hana amani sana. Inaonekana keshaanza kuona picha kubwa

Kwakweli ile morali ya kazi ya waziri mkuu haipo tena. Yani yupo yupo tu, hatumbui tena majipu. kuna kitu kinaendelea
 
Jamani hata mimi kila siku najiuliza. Kunani Mh. PM? Kweli siyo yule. Ila mimi nahisi, ya Ombeni Sefue, ya Kilango Anna, na hata Kabwe, yamemtisha PM. Anahofu akikosea tu kidogo hakuna imetoka. Hapo ndo ninapompendaga Mh. Rais JPM. Haogopi mtu, lazima ufanye kazi kwa misingi. Ukiharibu hakuonei haya. utakwenda. Lazima watu wawe makini. Kweli jamm saizi kanywea sana si siri
 
Katika siasa na unapokuwa chini ya mamlaka ni afadhali kuzungumza kidogo sana na kutenda zaidi kwani kwenye kusema unaweza kujikwaa. PM anatumia hekima sana ili asijikwae na kimsingi yupo sahihi.
 
Back
Top Bottom