Waziri mkuu si yule

Pengine pale alikuwa na uchovu pengine hakulala usiku yupo macho hii nchi ukilala kidogo tu unawaachia mafisadi upenyo wa kuiba!! Kuogoza hii nchi siyo kazi rahisi
Anakesha yeye jambazi? Mafisadi ni zao la mfumo, sasa hivi wapiga dili wanatumia akili nyingi kukabiliana na wakati uliopo
 
Jana nimemwona wakati rais akiongea na wakurugenzi wapya. Kanywea sana. Hata rais alipomtaja kuwa hakuwahi kuwa waziri kabla ya uwaziri mkuu nilimwona Waziri mkuu akiwa hana amani sana. Inaonekana keshaanza kuona picha kubwa
Inaitwa "big picture"
 
hana mamlaka tena ya kuteua ndio maana kapoa sana...ngosha anakaba sana penati yan kila kitu yeye tu...
TAMISEMI imehamishiwa ikulu,nguvu yake kiutendaji imepunguzwa.inabidi asubiri maagizo tu maana kiongozi namba zote anacheza mwenyewe,hadi rizevu!
 
Jamani hata mimi kila siku najiuliza. Kunani Mh. PM? Kweli siyo yule. Ila mimi nahisi, ya Ombeni Sefue, ya Kilango Anna, na hata Kabwe, yamemtisha PM. Anahofu akikosea tu kidogo hakuna imetoka. Hapo ndo ninapompendaga Mh. Rais JPM. Haogopi mtu, lazima ufanye kazi kwa misingi. Ukiharibu hakuonei haya. utakwenda. Lazima watu wawe makini. Kweli jamm saizi kanywea sana si siri
Angeanza na lugumi
 
JPM anambana hataki majaliwa awe maarufu, anapenda sifa binafsi , kaamua kujikalia kimya hakuna trip za bandari tena
Trip za bandari kila siku kufanya nn, hana kazi zingine????
Ukishaweka system na ukawa na uhakika inaenda unavyohitaji unatulia
 
Back
Top Bottom