JPM anambana hataki majaliwa awe maarufu, anapenda sifa binafsi , kaamua kujikalia kimya hakuna trip za bandari tenaJana nimemwona wakati rais akiongea na wakurugenzi wapya. Kanywea sana. Hata rais alipomtaja kuwa hakuwahi kuwa waziri kabla ya uwaziri mkuu nilimwona Waziri mkuu akiwa hana amani sana. Inaonekana keshaanza kuona picha kubwa
kama si kazi rahisi mbona watu wanatumia kila hila kupata uongozi kama rushwa? wizi wa kura? matumizi ya vyombo vya dola nk? kweli kuna ugumu kuongoza nchi?Pengine pale alikuwa na uchovu pengine hakulala usiku yupo macho hii nchi ukilala kidogo tu unawaachia mafisadi upenyo wa kuiba!! Kuogoza hii nchi siyo kazi rahisi
Ispokuwa majibu ya kisayansi.Sifa kuu ya mtanzania huwaga hatukosagi majibu
JPM anambana hataki majaliwa awe maarufu, anapenda sifa binafsi , kaamua kujikalia kimya hakuna trip za bandari tena
Jana nimemwona wakati rais akiongea na wakurugenzi wapya. Kanywea sana. Hata rais alipomtaja kuwa hakuwahi kuwa waziri kabla ya uwaziri mkuu nilimwona Waziri mkuu akiwa hana amani sana. Inaonekana keshaanza kuona picha kubwa
Unaona sasa umetoboa siri ya nyumbani kwenu lumumba!!!!!!Haya ni matokeo ya mfumo mpya wa Ufipa kulipa kutokana na "quantity" ya threads ulizoanzisha na wala si "quality"