Waziri mkuu pinda nimtekelezaji wamipago yakikatili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri mkuu pinda nimtekelezaji wamipago yakikatili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kipre tchetche, Jan 8, 2011.

 1. K

  Kipre tchetche JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli waziri mkuu pinda amekuwa akitumiwa
  Kama fimbo ya kupigia wanyonge na
  na kuwalazimisha watanz wakubali
  matakwa ya watawala hata Kama yanasababisha
  maumivu kwa taifa , Kama sio yeye kuizima
  rich mondi bungeni labda tusingefikia matokeo
  haya ya dowans Huwezi mlinganisha na magufuli
  Pamoja na kujipambanua eti mtoto wa mkulima
  watanzania wameuwawa Kikatili na police
  amekaa kimya huyu ni mtetezi wa nani?
  Kweli viongozi wa serikali ya tanz wengi
  kuwapo kwao madarakani ni janga kubwa
  kwa watanz.
   
 2. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,066
  Trophy Points: 280
  Nilishasema zamani na leo narudia tena Pinda ni chui aliyejificha kwenye ngozi ya kondoo ni mbaya kuliko chui unayemuona. Nikasema tena heri Lowasa mwizi tunayemjua kuliko anayeiba na kuua kimya kimya.
   
 3. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Better the devil you know than the angel you do not know,,pinda kapinda hasa,ukiona mwanaume baba mzima analilia cheo ujue ana matatizo,,,kwake upm ni favor ya waliomweka na si utumishi wa umma,ila siku yaja na saa ipo karibu wote wanaowasaliti wtz watafungwa jiwe kubwa na kurushwa baharini penye kina kirefu,tuungane na kushikamana kwa ajili ya ukombozi wa nchi hii...
   
 4. REBEL

  REBEL Senior Member

  #4
  Jan 8, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  nindeni zenu pinda hausiki na kitu!
   
Loading...