Waziri Mkuu Pinda na Spika Anne Makinda wajiuzulu kwa Rushwa!

Our problem is that "Kesi ya nyani mpelekee hakimu anayeitwa Tumbili" and you will enjoy the outcome. Who is clean in the whole system?? If we are receiving money from the Petroleum Companies so that they sell more fuel while our plants can work what do you expect??? If we are exporting our electric poles to Kenya and then we import them, what do you expect my dear friends????? The same leaders are complaining Tanzania is poor, what are you talking about?? Tanzania is not poor but few people are killing our economy for their benefits. I wish I was the president at this time "NINGESHAJIUZULU" KWA FAIDA YA WANANCHI WANGU, sababu hata mimi nisingekuwa na imani juu yangu mwenyewe.
 
Kusema ukweli liwalo na liwe alitakiwa ajiuzuru hasa kwasababu ndani ya kipindi cha uongozi wake migomo ya wafanya kazi imekuwa mingi na inendelea kutokea, na yeye ameprove failure.
Nasema hivyo kwasababu kama mgomo wa madaktari alijitahidi kwa uwezo wake wote, akashindwa, na akalitangazia taifa kuwa sasa LIWALO NA LIWE sababu hana tena uwezo wa kufikiri zaidi ya hapo. nasisi tumemuacha aendelee kukalia kiti, na tunakumbuka njia pekee aliyoiona inafaa kutatua mgomo wa madaktari ilikuwa ni kuanza kupeleka madaktari mmoja baada ya mwingine MABWEPANDE.
Sasa umetokea huu wa walimu je tutegemee nini zaidi? je hii ndiyo tz yenye neema tuliyoahidiwa?
Agekuwa mzalendo Pinda, tangu siku ile aliposema nimejitahidi nimeshindwa alitakiwa awe ameachia ngazi ili wengine wajaribu
 
Wawajibike kwanza watuhumiwa.....haiwezekani kuwajibisha viongozi Kabla ya Wezi husika hawajakamatwa......hawa Wezi kwa umoja wao (wabunge ofcoz) Yaaani Wezi kutoka CCM na Wezi kutoka CHADEMA kwanza watangazwe hadharani, Kama ni kunyong'wa wanyongwe Kama ni kupigwa mawe hadi wafe tuwapigwe mawe hadi kufa......Maana tushachoshwa na Wezi WA aina hii.
Yani hadi wabunge WA UPiNZANi (Chadema?)? Mimi nilidhani ni Magamba pekee ndio mafisadi!!
Likishakamilika zoezi la kuwaadabisha hao Wezi then ndio turudi kwa hawa viongozi wakuu na kuona Ushiriki wao katika kashfa husika. Ndio tutajua Kama NAo wawajibike au la. Usilete Harakati zako hapa.

Karibu ADC.

ADC - DIRA ya Mabadiliko.

point taken ADC a.k.a Assist Develop Ccm
 
With this level of thinking and analysis kweli kazi ipo!
Viongozi wakuu wa Bunge mbona unamuacha KUB na mawaziri vivuli? Do you think wako pale kwa ushahidi tu.
If kuna watu wa kujiuzulu sio PM na Spika tu, ingependeza zaidi hata Bunge lote likivunjwa ili tuanze upya.

Go back to analytical thinking na jifunze logic kabla hujaandika madudu kwenye JF as it is quite a respected forum in Tanzania.
Another thing, badilisha heading ya thread yako!

DMussa

Read between the lines usikurupuke mwanakwetu.
Mimi nimezungumzia Spika na Waziri Mkuu ambao ndiyo viongozi wakuu sawia kwa shughuli za Bunge na Serikali.
Hili la kusema na KUB wajiuzulu labda useme ni mawazo au mchango wako. Try to think deep, maana bila Bunge na serikali iliyounda hilo Bunge,KUB na Mawaziri vivuli utawapata wapi yakhe???

Naomba ujibu swali hili rahisi: Tangu kuanza kwa Bunge la vyama vingi ulishawahi kusikia hata siku moja kiti cha Spika kikakaliwa na Kiongozi wa KUB au Mbunge toka upinzani akaendesha kikao kama Mwenyekiti??? Na je, ulishawahi kusikia KUB akaitisha kuunda Kamati yoyote ya kudumu ya Bunge?Jibu ni hakuna.

Kumbuka kuwa hili ni Bunge la CCM na linaloongozwa na serikali ya CCM.Spika anatoka CCM na Waziri Mkuu anatoka CCM na hawa ndiyo wenye Mamlaka ndani ya Bunge ya kusimamia,kuongoza na kuratibu shughuli zote za Bunge.Umeshasikia au kushuhudia hoja za Upinzani zikizimwa na kupotezewa kwa mambo ya kijinga na ushabiki wa kipuuzi CCM. Sasa kwanini uanze kuwalalamikia KUB kwamba na wao wajiuzulu???

Watanzania hebu tuacheni propaganda na ushabiki wa kipuuzi wa kisiasa. Kwenye ukweli tuseme ukweli tu siyo kuingiza longolongo na porojo zisizo na mashiko. The Bible says,''Speak the Truth and that Truth shall set you Free''
 
Fanya mchezo, bila ufisadi CCM itakufa! Je unadhani Pinda au Makinda watasababisha kufa kwa ccm? Au unataka "serikali iyumbe" kwa kujaribu kuwagusa mafisadi?

Ili iwe funzo, wacha haya madudu yaongezeke na kubainishwa ili 2015 wananchi wawe makini kwenye sanduku la kura. Ufike wakati na mahala watu waone uhusiano wa 1x1 kati ya uongozi na hali ya maisha wanayotaka.
 
Nyambafu na hii heading yako,unaandika as if wameshajiuzulu,moods au mleta mada change nane wajiuzulu,weka kujiuzulu,tena iwe ni tetesi na si breaking news.

nduu/mamaya,

Kiswahili siyo lugha yangu ya kuzaliwa. But the message is sent!!

Kinachotakiwa hapa ni Makinda na Pinda kujiuzulu au wajiuzulu mara moja maana wameshindwa kusimamia na kudhibiti Rushwa ndani ya Bunge la Tanzania.
 
Back
Top Bottom