BORA NIKUELIMISHE WEWE UNAYETAKA KUJUA KULIKO BAADHI YA WATU AMBAO MAGUFULI AKISHASEMA HATA KAMA NI PROPAGANDA WAO WANAAMINI.Kwani ukweli ni upi?
tunalalamika miundombinu hafifu, ikitaka kujengwa Pinda analeta siasa, basi kaeni kimya mpitishe magari na njia nyingine za usafiri juu ya hizo nyumba zenu, watu wa chato fikirieni mbele zaidi ya vibanda vyenu vya biashara, pisheni ujenzi wa barabara ili mfanye biashara kwa ufanisi zaidi kwani pale mtakapojengewa barabara, mtaweza kusafirisha na kununua bidhaa na hatimaye mtapata mafanikio zaidi ya mpatayo sasaBarabara zipite juu ya nyumba?
tunalalamika miundombinu hafifu, ikitaka kujengwa Pinda analeta siasa, basi kaeni kimya mpitishe magari na njia nyingine za usafiri juu ya hizo nyumba zenu, watu wa chato fikirieni mbele zaidi ya vibanda vyenu vya biashara, pisheni ujenzi wa barabara ili mfanye biashara kwa ufanisi zaidi kwani pale mtakapojengewa barabara, mtaweza kusafirisha na kununua bidhaa na hatimaye mtapata mafanikio zaidi ya mpatayo sasa
Mbona serikali haieleweki? Kuna haja gani ya kwenda kutangaza kwa wananchi badala yakumweleza waziri mwenye dhamana kisha yeye awatangazie wananchi? Me naona kama PM amemdhalilisha Magufuli kwamba alichofanya sio sahihi. Ina maana katika utendaji hakuna mipaka? imekuwa kila mtu achukulie anavyoweza? Na je! kauli mbiu ya CCM si ilikuwa ARI ZAIDI,NGUVU ZAIDI NA KASI ZAIDI? Sasa iweje Magufuli aonekane amekuja kwa Kasi zaidi kisha azimwe? Huko suio kumpandikizia chuki kwa wananchi? Au Serikali hua haina uhakika na kauli zake?Sio kwamba napinga kauli ya Pinda ila amekurupuka!alitakiwa atumie utaratibu unaotakiwa!
Hivi viongozi wetu wamesomea wapi? Wana vyeti halali kweli? Maana nilitegemea wangeambiana wenyewe,Magufuli angekuja kusawazisha mwenyewe jukwaani.
Japo namuunga mkono PM (katika hili tu )kusawazisha huu uozo wa Magufuli kabla haujafanyiwa kazi, eti angevunja na jengo la tanesco..
ni kwaida yake mkuu, sijui anataka nini kwa wananchi, si wakati wa kuagiza na kutoa matamko tunataka maendeleoHTML:Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amemwagiza Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mohamed Babu, ampatie orodha ya wafanyabiashara wanaonunua sukari kutoka katika Kiwanda cha Sukari cha Kagera, ili ajue sababu za kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya juu. Source - Mwananchi
WM wetu ni kama employee tu anayefanya kazi ili mradi kusubiri ujira mwisho wa mwezi! Mara nyingi anatoa statements zinazoishia hewani tu .... na zingine hazina mantiki kama hiyo hapo juu.
ufanisi? Ni ule uliosababisha serikali kulipa fidia ya bilioni 3 kwa kubomoa petrol station jijini mwanza kwa madai kuwa imejengwa katika hifadhi ya barabara au upi?<br />
<br />)
Jatropher usilete chuki zako kuhalalisha upuuuzi kama huo!, usihadae wana jf kwa kurejea kesi ambazo serikali ilipoteza! Nani hajui kama ''law'' ni ''art''? Mbona mkataba dowans ulisitishwa kihalali lakini kesi tukapoteza?, nani hajui kama Zombe na wenzake waliua lakini wako mtaani wanakula kuku?, nani hajui kama babu seya na wanae hawakubaka lakini wako wanaendelea kunyea debe?, sheria ni sanaa na hapa tanzania inaongozwa na rushwa, na kama ujuavyo serikali haitoi rushwa kwa hiyo haishindi kesi nyingi!, hilo unalijua. Magufuli ni mchapa kazi na anafuata sheria. Sio ndugu yako huyo anakurupuka kusema wanaoua arubino wauawe halafu analia mwenyewe! PM AMECHEMKA, usitetee ujinga eti kisa magufuli aligusa interest zako! Koma