Waziri Mkuu Pinda Apangua Hoja Kuwa Yeye ni Mzigo!. Kinana Anasubiriwa Kufafanua!.

Bwana Pasco,

Hemu acha mzaha pse.

Yaani Pinda,mtu aliyeshindwa Uwaziri Mkuu unataka apewe URAIS????!!!!!!Huyu ndiye PM dhaifu kabisa mbaye Tanzania imewahi kuwa naye. PM anayelia kila akiletewa matatizo badala ya kuyatatua? PM anayeongea kama vile anatongoza mwanamke???? Huyu hafai kuwa kiongozi mahali popote! Inakuwaje unamtetea kihivo? Vipi mzee au umemwolea nini?
 
Waziri mkuu amekuwa mzigo kwa kuwa anaonekana ameshika makali na kuna mtu kashika mpini!!
Hana maamuzi wala kauli!!
Wana mcontrol kwa remote!!!
Cheo chake hakifanyii kazi ipasavyo!!
I salute Lowassa
Sorry for thinking loud!!!

Ndo maana nasema wachangiaji wengi wa mada hii ni kama wana akili za samaki !
Mtendaji mkuu wa Serikali ni Rais huu ndo mfumo wa Tanzania,
Pinda msimwonee bure
 
Maskini pinda sijui hata anajua anaongea nini hivi hajui power ya waziri mkuu kama hizo wizara mbili zimefanya vibaya yeye anaona ni sawa angetuambia amechukua hatua gani atumuangalii pinda tunaangalia waziri mkuu kama taasisi yenye sheria, miongozo na kanuni katika utendaji siyo udhaifu wa kibinadamu sasa kama hata hawezi kutumia sheria dhidi ya watu wake wanaoharibu kazi kwa kisingizio eti nae ni binadamu nina mashaka na uwezo wa pinda ni duni mnoo
 
Pasco,
Are you really serious Mh. Pinda anafaa kuwa President....really!!??
Sasa hivi watanzania wanalia kwa kuwa na Raisi ambaye awajibiki kwa waliomchagua na hawawajibishi wanaoharibu au kutowajibika. Mizengo Pinda is the worst waziri mkuu of all times katika historia ya Tanganyika. Na leo GT Pasco anadokeza kuwa Pinda anafaa kuwa Prezidaa....Oh Gosh. Hivi Banza Masanja yuko wapi, I think naye anafaa kuwa Presidaa.
HATUTAKI RAISI WA KULIA LIA AU KUKENUA MENO ALL THE TIMES. Tunataka kiongozi ANAYEWAJIBIKA na KUWAJIBISHA. Yeye arudi tu huko kwao aendelee na uvunaji asali.
 
Wanabodi,
Haya yanamkuta Kinana, unaweza kukuta ni malipo ya karma kama hizi za kuwaita watu mizigo!, mnaweza kukuta huyo kichaa mpayukaji ni mjumbe tuu wa karma, ili karma itimie.
P.
 
Dhaifu sio dhaifu, mizigo sio mizigo nk, haya yataisha baada ya gonjwa hili liitwalo CCM tutakapo liondoa kabisa kwani hilo ndio chanzo cha magonjwa haya mengine nyemelezi.
Hakika nawaambia bila kuondoa hili dude nchi itaendelea kuwa restless.
 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda apangua hoja KM wa CCM kuwa yeye ni mzigo!.
Pasco
Kwa wasiomjua Comred Kinana, akiwa KM wa CCM, aliwahi kuwaita baadhi ya Mawaziri kuwa ni Mawaziri mizigo!.

Hii maana yake this man is very bold!. Kama akiwa KM wa CCM, aliwahi kuwaita baadhi ya Mawaziri ni Mawaziri mizigo akiwemo kiranja wao Pinda, sasa akiwa Makamo Mwenyekiti, atakuwaje?.

CCM na serikali, watanyoka.

P
 
Kidumu Chama Cha Mapinduzi

download (15).jpeg
 
Kwa wasiomjua Comred Kinana, akiwa KM wa CCM, aliwahi kuwaita baadhi ya Mawaziri kuwa ni Mawaziri mizigo!.

Hii maana yake this man is very bold!. Kama akiwa KM wa CCM, aliwahi kuwaita baadhi ya Mawaziri ni Mawaziri mizigo akiwemo kiranja wao Pinda, sasa akiwa Makamo Mwenyekiti, atakuwaje?.

CCM na serikali, watanyoka.

P
Hana nguvu zozote kumzidi KM wa chama
 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda apangua hoja KM wa CCM kuwa yeye ni mzigo!.

Upanguzi huo umefanyika bungeni leo asubuhi wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, ambapo aliulizwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Abrahman Kinana amenukuliwa na media akisema baadhi ya mawaziri akiwemo Mhe. Pinda ni mzigo!, jee yeye anazichukuliaje kauli hizo?.
Pasco
Nikiwa mdogo mwaka 1986 jirani yetu ambaye alikuwa ana kaa kwenye nyumba za msajili njia ya sanawari. Alikuwa mpole, mrefu na anaonekana tofauti sana kulinganisha na vijana wengine pale.

Mzee wangu ambaye alikuwa mmoja wa viongozi wakuu wa mkoa wa Arusha alialikwa kwenye harusi ya kinana! Cha ajabu huyu kijana alikuwa kapata ubunge na kuchaguliwa waziri mdogo wa ulinzi.

Mtaa mzima tulikuwa pilau karibu wiki nzima na waziri wa ulinzi wa wakati huu Salim Salim alikuja kwenye harusi ile ya mkeka na waligawa video tapes za harusi kila mahali. Kiukweli kinana alikuwa anapedwa kama mfalme wa Arusha mjini miaka hiyo.

Hili la Sumay likamkimbiza kabisa Kinana na mpaka leo kinana sio yule mzalendo ambaye alikuwa mbunge 1986.
Mkuu @kamindu, Kinana ni mmoja wa wazalendo wa kweli wa nchi hii!. Ni Kinana na Nape ndio wameiokoa CCM ile 2010 to 2015 kwa zile ziara zao za amsha amsha, baada ya kusoma bandiko hili CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!, kwenye bandiko hili nilishauri
Wanabodi,
Nasisitiza CCM imechokwa, na ule ushindi wa kishindo wa Kikwete toka asilimia Zaidi ya 80% mwaka 2005 hadi asilimia 60% 2010, ni uthibitisho tosha, Watanzania sasa wameichoka CCM ila pia hawakuwachagua wapinzani kwa wingi zaidi, kwa sababu wapinzani bado hawajaonyesha kukomaa vya kutosha kuweza kukabidhiwa nchi kwa kushindwa kuonyesha utayari kukamata dola na kutawala.

Najua kwa dhati, japo CCM na JK wanafurahia ushindi huu kiduchu kwa furaha, ni furaha ya machoni tuu, lakini moyoni ni maumivu na vilio kwa huzuni ya kukataliwa toka ushindi wa kishindo wa asilimia 80% ya 2005 hadi ushindi kiduchu wa asilimia 60 za 2010, na hiyo asilimia 20% ya kukataliwa, kukataliwa ni kukataliwa tuu kunauma!.

Hivyo chama makini chochote lazima kikae chini na kujiuliza, hivyo CCM lazima watakaa chini na kujiuliza kulikoni, ni katika kujiuliza huko, huenda wakajipanga upya na kuja kwa mbinu mpya, kwa nguvu zaidi na kasi zaidi, ila kwa vile CCM imechokwa, hata ijipange upya vipi, kama Chadema itajipanga, then kwa CCM, safari ya kwaheri ndio imeanza, there is nothing to stop it from failing down unless ibadilike kwa revamping.

Dawa pekee ya kuitibu CCM chovu iliyochokwa, ni kuirevamp CCM completely, task nambari moja ni Makamba and his old guards pale Lumumba, should go, kupisha new blood. Tena CCM msisubiri mpaka uchaguzi mkuu wa chama chenu, miaka miwili ijayo (2012), itakuwa too little too late. If you are to do anything, just do it now and fast!. Leteni fresh blood kina January type, Kippi, Nape type and the like ambao wanaziweza siasa za kisasa za .dot com type.

Pasco..
Ushauri huo ulifuatwa immediately, CCM wakamtoa Makamba, wakamuingiza Kinana, Nape na January na hapa ndio survival ya CCM ilipoanzia maana ilikuwa almost dead! Chadema ilikuwa wachukue nchi Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni! hapa ni Kinana ameiokoa CCM!.

Baada ya issue ya uraia wa Azim Premji kuibuka, Kinana alirekebisha uraia wake kwa official declaration kama Bashe na Jenerali Ulimwengu, ila kiukweli kabisa kuna watu kibao tuu ambao sio raia wa Tanzania lakini ni wazalendo kuliko Watanzania wenyewe!, watu kama Joan Wickens, Amiri Jamal, Dr. Leader Starring, Oscar Kambona, Michael Kamaliza, Chinyama Chiume etc, hivyo Kinana ni mzalendo wa kweli kabisa wa Taifa hili!.

Kitendo cha Kinana kutukanwa na yule kichaa ile 2015 na ule ukichaa wa voice notes ulimfedhehesha sana Kinana nami niliuzungumza hapa, Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity humu nilisema
7. Comred Kinana.
Huyu is the man of principles and integrity, anakisimamia kile anachoamini, ule waraka ni wake, na yote alioongea ni yake na ni kweli tupu, men of principles and integrity they stand with what they believe, kama ni kuadhibiwa kwa kuusema ukweli, let it be!. Hapa naomba kutoa angalizo kuhusu Kinana, kwa mambo Kinana aliyoifanyia CCM, akija kuadhibiwa adhabu yoyote kwa kuonewa, kwa kuusema ukweli wake, kiukweli kabisa Mungu atampigania!, hiyo karma yake.... usipime!.
Imevuja sauti inayodaiwa ni Maongezi ya Simu ya Nape Nnauye na ...

9. My Take.

2.Udukuzi ni kosa la jinai, ili nchi yetu kuonyesha inaheshimu utawala wa sheria, baada ya zoezi la misamaha kukamilika, naomba serikali yetu iwachukulie hatua wadukuzi sio waliodukua, maana hawa tunawajua na tunajua udukuzi unaendelea kufanywa kila siku, tena usikute hata mimi ninadukuliwa, bali walio likisha sauti hizo zilizodukuliwa kinyume cha sheria, wafikishwe mbele ya vyombo vya sheria, tena kitu cha ajabu, unaweza kukuta hakuna hata mtu mmoja kati ya walidukuliwa amekwenda kushitaki au kulalamika rasmi mawasiliano yake binafsi kudukuliwa kinyume cha sheria, naijua sababu iliyofanya watu walio dukuliwa wasiende kuripoti popote, naomba kuwafariji kwa kuwaeleza kitu kinachoitwa karma kitawalipia, wadukuzi yatawawakuta ya kuwakuta na walio watuma, na waliodukuliwa na kuwa persecuted, watafidiwa na malipo ni hapa hapa duniani, mbinguni ni hesabu tuu!.

Paskali.
Natumaini wale mnao ijua karma by now you can connect the dots usikute karma ya Kinana imechangia kwenye ile issue na huku kuwa elevated ni karmic consolations kumfidia!.
Nasisitiza Kinana ni mzalendo, and also karma is real, mtu akiwa mzalendo wa type kama ya Comred Kinana, mtu uki doubts uzalendo wake, ukaandika au kumshitumu, watu wakianza kum doubts kutokana na andiko lako, chochote negative kitakacho sababishwa na andiko lako, kitakuwa na karmic consequences
P.
 
Mkuu @kamindu, Kinana ni mmoja wa wazalendo wa kweli wa nchi hii!. Ni Kinana na Nape ndio wameiokoa CCM ile 2010 to 2015 kwa zile ziara zao za amsha amsha, baada ya kusoma bandiko hili CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!, kwenye bandiko hili nilishauri

Ushauri huo ulifuatwa immediately, CCM wakamtoa Makamba, wakamuingiza Kinana, Nape na January na hapa ndio survival ya CCM ilipoanzia maana ilikuwa almost dead! Chadema ilikuwa wachukue nchi Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni! hapa ni Kinana ameiokoa CCM!.

Baada ya issue ya uraia wa Azim Premji kuibuka, Kinana alirekebisha uraia wake kwa official declaration kama Bashe na Jenerali Ulimwengu, ila kiukweli kabisa kuna watu kibao tuu ambao sio raia wa Tanzania lakini ni wazalendo kuliko Watanzania wenyewe!, watu kama Joan Wickens, Amiri Jamal, Dr. Leader Starring, Oscar Kambona, Michael Kamaliza, Chinyama Chiume etc, hivyo Kinana ni mzalendo wa kweli kabisa wa Taifa hili!.

Kitendo cha Kinana kutukanwa na yule kichaa ile 2015 na ule ukichaa wa voice notes ulimfedhehesha sana Kinana nami niliuzungumza hapa, Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity humu nilisema

Natumaini wale mnao ijua karma by now you can connect the dots usikute karma ya Kinana imechangia kwenye ile issue na huku kuwa elevated ni karmic consolations kumfidia!.
Nasisitiza Kinana ni mzalendo, and also karma is real, mtu akiwa mzalendo wa type kama ya Comred Kinana, mtu uki doubts uzalendo wake, ukaandika au kumshitumu, watu wakianza kum doubts kutokana na andiko lako, chochote negative kitakacho sababishwa na andiko lako, kitakuwa na karmic consequences
P.

Walitaka awe next salim salim! Mwenzake ni kipanga

Similar Discussions

Back
Top Bottom