Waziri Mkuu Pinda 'akacha'kikao cha bunge kinachoendelea Dodoma..

kelao

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
8,132
5,785
Leo bungeni wakati mjadala motomoto wa wa taarifa za kamati za wenyeviti wa kamati za oversite,wabunge wamehoji kutokuwepo bungeni kwa mh.waziri mkuu Mizengo Pinda katika kiti chake.Mh. Mkosamali ameenda mbali zaidi kwa kusema waziri mkuu huwa nae anapokea 'bahasha'na ndio maana huwa hawachukulii hatua watendaji wanaoboronga ktk nafasi zao.Hata hivyo Mh. Lukuvi amemtetea waziri mkuu kwa kusema yupo Dar es salaam anasubiri kumpokea kiongozi mkubwa wa Uholanzi anakuja nchini..
 
Pinda afukuzwe bana tumechoka kuwa na Waziri Mkuu anayelialia hovyo hana maamuzi
 
Nduguyai amesema anafungulia mbwa, labda ndo tayari ameshamfungulia PM akatoroka
 
Makamu wa raisi anafanya kazi gani?

Au huyo mgeni hana hadhi ya kupokekewa na makamu wa raisi?
 
Atajificha lakini hata fichika!

Tunamsubiri Alhamisi kwenye maswali papo kwa papo? Hasa kuhusu mshahara na marupurupu ya waziri mkuu!!.
 
pinda ameshapinda anatakiwa kufukuzwa kwa maana tumechoka sasa mawaziri wa ccm Mungu amewanyima busara sishangai waziri kupewa bahasha wanalindana hawa mafisadi
 
kelao

JK yupo FNB Stadium anamuaga Mzee wetu mpendwa Nelson Mandela.


haya bhana, ataendelea kula misele mpaka siku ya mazishi au?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom