Waziri Mkuu na Naibu waziri Tamisemi Mwita Mwikwabe Waitara wateta

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,635
29,967
Hamtanielewa,
Magufuli ana Mpango wa kuwafukuza kazi wote wanaoonekana washindani wake, mbaya zaid madaraka watapewa wapinzani,
Je unaamini kwamba ipo siku wapinzani ambao walishiriki kuzipunguza kura za Magufuli mwaka 2015 watakuwa wanshangilia kupewa vyeo vikubwa mdani ya nchi na CCM lakin watu kama Makamba, Kinana, Nape, Lusinde, hata wabunge wengine

Kikao cha waziri mkuu na waitara mh, mh ,mh, kina Makamba kaa chonjo

Britannica
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom