Waziri Mkuu Mstafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Edward Lowassa azungumzia kustaafu siasa

Bado hajapata matokeo? ENL ana option mbili tu basi: KURUDI CCM AMA KUACHANA NA SIASA! Muda utanena
 
Tulionywa kwamba mzee alikuwa na hasira sana na chadema kwa kumchafua lakini hatukusikia. Wacha amalize hasira zake kwa kukisambaratisha kabisa. 2020 wakipata wabunge 5 wamshukuru Mungu sana.
Wacheni huyu mzee aendele na majukumu yake chadema, akirudi ccm, tutawapa cdm pahali pa kupumulia na watasema lile pandikizi tumeliondoa, chadema inarudia misingi yake ileile.
 
Mkuu wa nchi kila ziara anatembea anajamba tu... muulize LUBUVA ukweli wa 2015.
Ndio maana kawazuia upinzani ili yeye atambe
 
Mnaeleweka nyie wabongo? Kule Kigoma majuzi mmewekewa kijana safii, tena makini to my surprise mkaamua kuchagua mzee aliyejichokea.
 
Huyu mzee ndo alikuja kumalizia upinzani..Alafu huyu mzee ni mnafki balaa tupu ana nga'ta na kupuliza
 
Back
Top Bottom