Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,120
- 27,932
Na wapigwe tu na watapigwa tuHuyu si ndio alisema wapinzani wapigwe?
Na wapigwe tu na watapigwa tuHuyu si ndio alisema wapinzani wapigwe?
Kwa kuzingatia mabaya kana kwamba mazuri hakuna. Unashangaa Masogange anasifiwa lakini mtu kama Pinda anasemwa kwa mabaya, yaani yule aliyetakiwa kupokewa kishujaa anakaribishwa kwa mawe na yule aliyetakiwa kuwa ameuwawa nchi kama China ama Saudia ndo anaonekana shujaa bongoNakumbuka tu alivyolia bungeni, watu wakasema analilia Uwaziri Mkuu.
Mkuu Rweye, wabongo hatujielewi, ndio maana kwenye meza ya magazeti unakuta UWAZI linamalizika mapema kuliko GUARDIAN.Kwa kuzingatia mabaya kana kwamba mazuri hakuna. Unashangaa Masogange anasifiwa lakini mtu kama Pinda anasemwa kwa mabaya, yaani yule aliyetakiwa kupokewa kishujaa anakaribishwa kwa mawe na yule aliyetakiwa kuwa ameuwawa nchi kama China ama Saudia ndo anaonekana shujaa bongo
Nakumbuka tu alivyolia bungeni, watu wakasema analilia Uwaziri Mkuu.
Tatizo la viongozi wasiopenda kukosolewa maovu yao huwasifia sana wanafikiMzee Pinda amestaafu baada ya Sumaye na Lowasa lakini ameridhika na mchango alioutoa kwa taifa na sasa anaishi maisha ya heshima ya kustaafu.
Hii ni tofauti na watangulizi wake wawili ambao bado wana uroho wa madaraka ingawa serikali ya CCM inawalipa 80% ya mshahara wa waziri mkuu wa sasa kama pension.
Wazee hawa wawili wanapambana na serikali inayowalea.....inachekesha.
Mungu akubariki mzee Pinda na awape roho ya Kiasi Sumaye na Lowasa, amen!
Hivi unazani binadamu wana jema? Wewe fanya mema ujira ni kwa Mungu lakini si hizi ngozi za binadamuKwa kuzingatia mabaya kana kwamba mazuri hakuna. Unashangaa Masogange anasifiwa lakini mtu kama Pinda anasemwa kwa mabaya, yaani yule aliyetakiwa kupokewa kishujaa anakaribishwa kwa mawe na yule aliyetakiwa kuwa ameuwawa nchi kama China ama Saudia ndo anaonekana shujaa bongo
hamna pinda hana shida...sema hujakaa kae karibu tu!!Wapigwe tu, maana hamna namna. Mara hii mmeshasahau?
Liwalo na liwe, mara mtu kang'olewa meno,. Mmeshasahau, kweli tumelogwa sisi.
Mh Pinda anahitaji pongezi za dhati kabisa,wazee wenye busara na hekima kama Mzee Pinda ni wachache sana wanastahili pongezi na heshima ya hali ya juu ni mfano wa kuigwa Mungu awape maisha marefu.Amen.Mzee Pinda amestaafu baada ya Sumaye na Lowasa lakini ameridhika na mchango alioutoa kwa taifa na sasa anaishi maisha ya heshima ya kustaafu.
Hii ni tofauti na watangulizi wake wawili ambao bado wana uroho wa madaraka ingawa serikali ya CCM inawalipa 80% ya mshahara wa waziri mkuu wa sasa kama pension.
Wazee hawa wawili wanapambana na serikali inayowalea.....inachekesha.
Mungu akubariki mzee Pinda na awape roho ya Kiasi Sumaye na Lowasa, amen!