Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,918
- 32,335
Na wewe jifunze kuandika vizuri JF kuna great thinkers uandishi wako wa sms hapa siyo mahala pake. Haya maneno ki2, wa2.Siyo sumaye na wala lowasa viongozi wengi wa kitanzania hasa wazee wao kitu speech siyo ki2 mhimu, hawajui waongee nini, wapi na
kwa wakati gani. Kama umemsikiliza sumaye leo utaungana na mimi kuna tatizo kubwa katika kuongea na uma, hakika mkipata wa2
makini hamuwezi kudebate kabisa..siasa ni gharama jaribuni hata kuwatafuta watalamu wa speech wawe wanawandalia na muwe mnasimamai kwenye speech zenu.
sumaye ameongea mengi bila ya kujua lipi mhimu niongee na lipi ni siongee, hii ni mbaya sana. Kuna mambo negative hutakiwi
kuyasema, speech ya sumaye leo imeniskitisha sana, kuna wakati hata mbowe alikuwa anaumia vile...eti familia yangu haikupenda, ooohh
2010 wananchi wangepiga kura wote nchi ingenda upinzani na upinzani haukuwa imara.
Igeni kwa obama
Hovyo kabisa.