Waziri Mkuu Mstaafu au Waziri Mkuu aliyejiuzulu?

Itifaki ya serikali inamtambua kama waziri mkuu mstaafu na ndiyo maana anapata stahiki zake zote kama mawaziri wakuu wengine waliostaafu.
 
Waziri Mkuu wa zamani

Kwenye nafasi ya Kisiasa Hapa Tanzania Ni Rais pekee ndio anapaswa kutambulika Rais Mstaafu kwa Kuwa kisheria lazima astaafu Baada ya vipindi viwili lakin nafas zingine hazina Ukomo hivyo si sahih kuita Mstaafu

Usahihi Ni kusema Waziri wa zamani, Spika wa zamani, Diwani wa zamani, Mbunge wa zamani kwa Kuwa vyeo vyao havina kustaafu

Mf Raia Mwinyi, Mkapa Na Kikwete wamepoteza Sifa Za Kuwa Ma Rais wa Tanzania kwa Kuwa Ni wastaafu lakin Mizengo Pinda, Sumaye, Lowassa wakiwa Wabunge wa Majimbo Na wanatoka Chama chenye Wabunge wengi bado wanaweza kuteuliwa Kuwa Waziri Mkuu!
 
Back
Top Bottom