Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Majibu rahisi kwa maswali Magumu

Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
2,263
2,000
Leo kama kawaida katika kipindi cha Maswali kwa waziri Mkuu,Pinda ameendelea kujibu kiwepesi maswli mazito aliyo ulizwa hasa lile la Nassary alipo ambiwa aeleze kwanini vitengo vya usalama vitesa wananchi na kuwalazimisha wakiri mambo ambayo awayajui.

Kwa mujibu wa Nassary wapo watu waliolazimishwa waseme Lema ndiye aliye husika kutupa bomu kanisani Olasiti.

Inadaiwa kijana huyo hata alibanwa sehemu za siri ili wapate kumtia hatiani mbunge Lema.Waziri mkuu licha ya kuwa ndiye mwanzilishi wa WAPIGWE TU,alikataa kueleza chochote.Huenda alihofu tafsiri iliopo ya kuwa aliidhinisha watu wapigwe tu kama vile nchi haina sheria.

Au kama vile tuko kwenye utawala wakifalme ambapo mfalme anaweza kutungia sheria barabarani na ikatekelezwa.Ni mambo yaliyo mpata hata Daudi Mwangosi aliye sambaratishwa kufumba nakufumbua na bomu bila hata kosa lolote na wahusika wasifanywe lolote.

Kumbe inaonyesha ilikuwa ina tekelezwa sheria ya Mfalme Pinda ya PIGA TU.Maana piga tu haikuelezwa wapigwe kiasi gani ilatu wapigwe hata wakifa.

Kwakweli hakutoa maelezo yoyote na kujifanya hajui wakati alisha sema WAPIGWE TU.
 
Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
2,263
2,000
atafanya nini zaidi ya kulia tu
Nakubaliana na Ligola alipo sema huyu ni MZIGO mzito wa kulemea.Hana lolote analo liweza.Hata angekuwa mkuu wa wilaya asingeweza kufanya lolote.Hana ubunifu,hana maono,hana majawabu ya jambo lolote yeye ni kulemba lemba kiswahili kama watu wa bakita.Sisi hatuli Kiswahili
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
ungekuwa na akili ya kufikia hata robo ya akili ya pinda ungekuwa mtu wa maana sana lakini hata robo ya akili yake hujafika unategemea nini.
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
na wewe mwenyewe ukileta za kuleta utapigwa mda wa ujinga umeisha kwa sasa ni kazi na amri kwenda mbele.
 
Ze mimi

Senior Member
Oct 13, 2013
128
195
ungekuwa na akili ya kufikia hata robo ya akili ya pinda ungekuwa mtu wa maana sana lakini hata robo ya akili yake hujafika unategemea nini.

Hivi we bibi kizee umelogwa?Vijisenti unavyohongwa na wafusi wa Chama Cha Mizigo vimekulevya hata unadiriki kuwaasi ndugu zako kule kijijini kwenu kwa umaskini wa kutupwa ulivyo wafunika?
 
Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
2,263
2,000
ungekuwa na akili ya kufikia hata robo ya akili ya pinda ungekuwa mtu wa maana sana lakini hata robo ya akili yake hujafika unategemea nini.
Alifikia kiwango gani cha elimu?Kama ni kiwango ninacho kijua yeye ndiyo hanifikii hata robo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom