Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa kufanya usafi Coco beach Dar leo ktk kuadhimisha siku ya mashujaa

Halafu inawezekana track suits zinapendwa kuvaliwa kwakua unaificha bullet proof vizuri?

Ahaaa ndio maana wananzengo wa Dodoma waliniambia kuwa jamaa kamwe huwa hachomekei mashati yake hata ukimwona kavaa bonge la suti jua ndani hajachomekea shati kumbeeeee
 
View attachment 818050
Katika kuadhimisha siku ya mashujaa leo tarehe 25 July 2018 Mh Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atafanya usafi akishirikiana na wananchi ambao ni wakazi wa maeneo ya Coco beach. Wananchi wameshauriwa kufika Coco beach kuanzia saa 12 asubuhi.

Fedha zilizotengwa kwa ajili ya kuadhimisha siku ya mashujaa sh million 308 zimeagizwa na Rais Dr Magufuli zitumike kujenga na kuboresha miundo mbinu mkoa wa Dodoma specific jiji la Dodoma hasa hasa barabara ya Emmaus African Dream ya kilometa 1.4

Na pia Rais Magufuli aliagiza siku hiyo itumike katika kufanya usafi kwenye makaburi ambako wamezikwa mashujaa nchi nzima.
Hivi huyu mtu huko Dodoma alikohamia huwa anakaa huko saa ngapi? Maana kila siku yupo Dar. Ina maana hapo ni anapigwa perdiem tu za kufa mtu. Hii nchi ngumu sana
 
Hivi huyu mtu huko Dodoma alikohamia huwa anakaa huko saa ngapi? Maana kila siku yupo Dar. Ina maana hapo ni anapigwa perdiem tu za kufa mtu. Hii nchi ngumu sana
wewe wasema......
 
Ndivyo alivyopangiwa ratiba na timu yake ya itifaki
Ratiba ya kufilisi nchi siyo? Hapo analipwa yy na hao watu wake wa itifaki. Halafu mnasema wanabana matumizi. Ndiyo maana effect ya kuondoa watumishi hewa haionekana kwa sababu ya matumizi holela ya fedha kama haya
 
Haya CAG......wamekusikia:cool:
 
Back
Top Bottom